Tatizo ni CCM kupoteza jimbo la Arusha

Tatizo ni CCM kupoteza jimbo la Arusha

Na itakuwa vizuri kama wananchi wa Arusha watachagua tena mpinzani (iwe Lema au mwingine wanayemtaka) ili kuwapa message CCM kwamba ni lazima waheshimu matakwa ya wananchi. Naona wanataka kuleta siasa za my way or no way.
 
I'm like this post! Hata sisiem wakimleta Pinda awe mpinzani hapa A town na CDM wakaweka ile Aravat ya Crashwise nawaambia CDM wanashinda kama wanamsukuma mlevi wa chang'aa vile!
Pinda Vs Avator ya Crashwise! Kweli mtu akikuchoka haambiliki.
 
Na itakuwa vizuri kama wananchi wa Arusha watachagua tena mpinzani (iwe Lema au mwingine wanayemtaka) ili kuwapa message CCM kwamba ni lazima waheshimu matakwa ya wananchi. Naona wanataka kuleta siasa za my way or no way.
Labda wanadhani inaweza kutokea miujiza ya Bwana Yesu kupaa.
 
Mimi nilidhani Arusha ipo chini ya CCM, kuchukua jimbo ni kuchukua halmashauri siyo kuchukua kiti cha bunge..... CCM au CDM wakitaka wanaweza kuwa na mbunge wa kuteuliwa ambaye ni mwana Arusha na akawa as effective as the elected MP.
Kwa nini ifikie hatua ya kuteua nadala ya kuchagua? Mpaka hapo lazima kuwe na kasoro.
 
Acha upumbavu wewe!!!Yaani Arusha huduma zote za jamiii zimetelekezwa na CCM kisa Lema na CDM,mbunge akitoka mahakamani anabambikiwa kesi ya maandamano(hivi wanataka akitoka mahakamni ajifiche au apande helikopta).Arusha tuamini na kutii sheria za udhalilishaji na wizi wa mchana ndio ustaarabu?

HAKUNAGA KAMA ARUSHA WEWE !!UOGA KWETU NI MWIKO HATA AKIJA SAID MWEMA HAPA ANAPOPOLEWA MAWE TU KAMA HANA NIDHAMU CHALI ANGU!!



Ukweli ni kwamba G Lema ndie anasababisha vurugu kwa hulka yake ya kutoamini ktk sheria na taratibu.Mbunge inabidi awe mfano kwa anaowaongoza na kazi ya kwanza ya kiangozi ni kuhubiri amani ili maendeleo ya kweli yaweze kupatikana.kama hakuna amani kwa anaowaongoza basi huyo mbunge hana uongozi.kwa kifupi lema atachokwa si muda mrefu na wapiga kura wake.
 
Jamani Arusha Yetu Sio PINDA tu maana tunampindisha mbaya kabisa.WAMLETE KIKWETE AU LOWASSA ndio watajua kwamba BATILDA alijitahidi sana kura alizopata.SIRI ya fedha za halmashauri ya jiji kwa miaka 15(1995-2010) walizokula Pinda na jamaa wa Tamisemi badala ya kujenga miundo mbinu na huduma za jamii ndio siri ya Umeya Arusha.

Wakimvua ubunge Lema tutaweka hata picha ya MBWA na tutashinda zaidi ya wanavyojidanganya hata kambi ya jeshi monduli na Lugalo askari wote wakiletwa Arusha hatafanya kitu sansana ya Libya,Misri na Tunisia yatatimia.CCM Jaribuni muone



I'm like this post! Hata sisiem wakimleta Pinda awe mpinzani hapa A town na CDM wakaweka ile Aravat ya Crashwise nawaambia CDM wanashinda kama wanamsukuma mlevi wa chang'aa vile!
 
All in all for Hon. Lema to be able to serve his voters diligently he need to reconcile with people leading other organs like OCD, Mayor, District commissioner etc. otherwise he will deliver nothing to Arusha Municpal during his five years tenure and this will prove failure to him and his part.
 
Nimekusoma vizuri sana na nimependa thread yako hakika umejipanga.....lakini hapo juu sijakusoma
Yaani watu wameichoka CCM hadi kufikia hatua ya kusema avator yako inatosha kushindanishwa na PM na ukashinda! Hiyo ni dharau iliyopitiliza kwa chama cha mapinduzi.
 
All in all for Hon. Lema to be able to serve his voters diligently he need to reconcile with people leading other organs like OCD, Mayor, District commissioner etc. otherwise he will deliver nothing to Arusha Municpal during his five years tenure and this will prove failure to him and his part.
Kuonewa kuna mipaka yake, mf. yaani mtu akuchukulie mke wako halafu useme unatafuta reconciliation ipi tena hapo? Kwa mimi nionavyo, ni bora serikali ikaingilia kati ugomvi unaosemekana kuwepo kati ya Lema na OCD Zuberi ili kunusuru hali ya vurugu na CCM kukubali matokeo hata kama ililipenda sana jimbo hili.
 
Unyanyasaji na udhalimu unamwisho wake! Magamba kweli wako kimaslahi hapa Arusha, ndo maana kila kukicha wanaanzisha mambo mapya kabisa kwa Lema! Mara kesi ya ubunge, madawa ya kulevya, mwizi, na mengineyo mengi!

Lakini hafanikiwi mtu hapa,wataishia kunawa,na hata msifikirie Lema kushindwa katika kesi inayoeendelea!
 
naunga mkono hoja..ccm wanaumia sana kukosa jimbo la Arusha mjini na wana2mia mbinu nyingi chafu kumchafua mbunge wetu.Mungu mlinde mbunge wetu

Mesage iwekwe clear kwa CCM kwamba au wamwache Lema au washinikize ashindwe kesi ila waelewe jimbo hili hawatakaa walipate tena. Kama Lema atashindwa ubunge ieleweke kwamba hata kama atakuja Mkapa, JK, woote waje hapa hata kama watatumia helkopta 10 na ndege waelewe wananchi wa Arusha watachagua mbunge kutoka chama kingine ila siyo CCM. CCM imeingia kutu na kutu haisafishiki kwa mafuta ya taa wala spirit bali kukitupa tu kinunuliwe kingine. Hii ndiyo falsafa yetu hapa A-town kwa sasa
 
All in all for Hon. Lema to be able to serve his voters diligently he need to reconcile with people leading other organs like OCD, Mayor, District commissioner etc. otherwise he will deliver nothing to Arusha Municpal during his five years tenure and this will prove failure to him and his part.

Kwani amewakosea nini mpaka afanye reconciliation au unamaanisha kuwapigia magoti? Unafikiri tunakosa nini Lema kiendelea hivi kulinganisha na tulivyokosa wakati wa Mrema na Meya Clement Hedi. Kwetu jambo muhimu ni kuwa na mbunge tunayemtaka wenyewe na siyo wa kupandikizwa huku tukidanganywa na halua za vibarabara vya vumbi
 
G.Lema kamanda wa ukweli , Mwanaharakati wa ukweli , Mpambanaji wa ukweli ,hata wakijitahidi sana kumchafua uchafu wote unarudi kwao,Nani hawajui CCM kwamba ni wachafu ambao hawawezi kutakata hata kwa kutumbukizwa kwenye ziwa la JIKI?CCM na mbinu zao chafu,uchawi,unafiki,uzandiki,uongo,wizi,ufitini,umalaya na siasa za maji.
 
Kwa nini Slaa akagombee Arusha wakati Lema ndiyo chaguo lao. Hata kama ushindi ukibatilishwa mahakamani bado Lema ataibuka mshindi. Lowassa kama anapenda kujipima aone kama watu wa mkoa wake wanampenda aende pale kugombea na Lema. Hakuna kiongozi yeyote wa serikali au CCM anayeweza kusimama na Lema Arusha (NDIYO NIMESEMA), hivyo hakuna haja ya kumpeleka Slaa kugombea pale.
 
Back
Top Bottom