Hapana Hus,
Ila nadhani wengi wanakubali (hata kama hawaamini na hawataki kabisa) kwamba wanaume wengi wanatoka nje ya ndoa (kwa mtindo wa chap chap au nyumba ndogo)....hapa natumia definition ya Big!!
Na siyo wanaume wote wana nyumba ndogo (mie naweza kukuapia hata kwa mtutu wa bunduki kwamba sina na kuna wenzangu kibao) na pia wapo baadhi ambao hawajawahi kukamatwa kwenye mtego wa shetani (wapo au tupo)!!!!
Hata hivyo, wakati wanawake wengi wanapambana kuwazuia waume zao wasicheat au kuwa na nyumba ndogo (which is beyond cheating), wanaume wengi wanapambana kumshinda shetani wasikamatwe na mtego wa kuingia kwenye mambo ya small house au kupata huduma ya chap chap!!
Babu DC!!
kama wapo wanaume ambao hawana nyumba ndogo, ni mambo gani yanawafanya wasiwe na nyumba ndogo.
Inakuwaje wanawake wengi wanaume zao wakiwa na nyumba ndogo huona kama ni nature ya mwanaume na si kwamba wao wanaweza changia kwa namna moja au nyingine hao wanaume kuwa na nyumba ndogo.
Halafu kweli jamani ugundue mume ana nyumba ndogo usistuke wala roho isiumee!! Inawezekana?
Husninyo, I am as surprised as you and I actually believe that this defeatist attitude has fueled the problem in Tanzania... Kama victims wenyewe wanaona ni kawaida, who will challenge the perpetrators now?dah! Hivi kweli wanawake wote humu ndani mnaamini kwamba hakuna mwanaume anayeweza ishi bila nyumba ndogo?
Na wanaume wote humu ina maana mna nyumba ndogo.
Husninyo, I am as surprised as you and I actually believe that this defeatist attitude has fueled the problem in Tanzania... Kama victims wenyewe wanaona ni kawaida, who will challenge the perpetrators now?
But faithful men wapo, tena sana. Nina watu wengi wa karibu who share my views on these things na sijawahi waskia katika habari za kucheat (but pia nina watu wengi wa karibu who cheat regularly/have cheated at least once).
Wapendwa je wote mu wazima?
Nisaidieni ninaomba kwani nafikiri sijitambui au sijijui.
Mbona mimi sipati shida wala kushtushwa na suala zima la nyumba ndogo!!
Je inawezekana kuwa sijawahi kupenda? au?
Je kuna mwenzangu/wenzangu ambao wana hali kama hii?[/QUOTE
Nyongeza haigombi!
MJ1
Hakuna love kwenye cheating & nyumba ndogo...Kuna usanii na kuchezeana kwa aina nyingi nyingi!!
Sijawahi kusikia mtu ambaye amependa (real love) nje halafu akabaki na ndoa.....
Nasubiri kusahihishwa kama nimezeeka vibaya
MJ1,
Naomba niseme hili ingawa nilishajua tumemaliza hiki kibarua..
Hakuna love kwenye cheating & nyumba ndogo...Kuna usanii na kuchezeana kwa aina nyingi nyingi!!
Sijawahi kusikia mtu ambaye amependa (real love) nje halafu akabaki na ndoa.....
....
...kuna kipindi nilipoelemewa na maswali ya hapo kwa papo na mwj1 nilitamani kumuhakikishia
hilo la hakuna real love huko nyumba ndogo, bali "kupooza kiu" tu...ila kwa ninavyomjua...ipo
siku angenifungulia reference...
Big up mkuu DC kwa kuiweka wazi hii...na ni kweli penzi likihamia nyumba ndogo LAZIMA ndoa
isambaratike, binafsi ni mmoja wao nisoweza multitasking!
.............And I Swear ....For YOU I will...........Hahahahahah Babu Bigi bana........kwe;i umekula maginia ya chumvi. Mi nataka kujua tu kwa sababu kama mtu ambaye amekuwa na one-night stand na mume wa mtu naye anaingia kwenye group ya nyumba ndogo au la na kama haingii anagroupiwa wapi kwa sababu nielewavyo mie cheating is a cheating as long as umetoka nje ya ndoa na kwa uelewa wangu ukitoka nje mara moja au ukiwa na mwenzi wa muda ambaye si mkeo/mumeo zote ni cheating!
.............And I Swear ....For YOU I will...........
Hehehehehe......Forget about the bite, I sing for you........duhhhhh!!!!!!!!!!!...... Aiseeeee!!!!!....kumbeee....
acha nami niwe msomaji kama AshaDii....LOL
Hehehehehe......Forget about the bite, I sing for you....
2012, dunia ni yako...:nimekataa:ray::rant:...chaguo ni lako.
Ukiona anakwambia nenda kwa mkeo basi ujue Ana jamaa yake anampenda zaidi na huenda analala nae Mpaka asubuhi,wewe ukifukuzwa unaona anajali Kumbe wapi.siku zote penye mapenzi ya kweli kunakuwa na wivu.Hivyo sio rahisi amheshim mkeo kiasi hicho:exactly
zipo nyumba ndogo mtu unaambiwa kabisa
wahi kurudi kwa mkeo.'sitaki matatizo mie' lol
Ukiona anakwambia nenda kwa mkeo basi ujue Ana jamaa yake anampenda zaidi na huenda analala nae Mpaka asubuhi,wewe ukifukuzwa unaona anajali Kumbe wapi.siku zote penye mapenzi ya kweli kunakuwa na wivu.Hivyo sio rahisi amheshim mkeo kiasi hicho:
kama wapo wanaume ambao hawana nyumba ndogo, ni mambo gani yanawafanya wasiwe na nyumba ndogo. Inakuwaje wanawake wengi wanaume zao wakiwa na nyumba ndogo huona kama ni nature ya mwanaume na si kwamba wao wanaweza changia kwa namna moja au nyingine hao wanaume kuwa na nyumba ndogo. Halafu kweli jamani ugundue mume ana nyumba ndogo usistuke wala roho isiumee!! Inawezekana?