Hapo ndipo mnapokosea!
Hujaona mwanamke naye anacheat hata na mkata majani, unafikiri anatafuta nini? Kama mnavyoboreka na style na mazingira yale yale na sisi pia twaboreka. Imagine; mbaba katoka kwenye mibia yake, amekula sijui minini, kalewa na anakuja anakuparamia tu, utaenjoy sex? Hao nyumba ndogo mnawatoa kwenye exciting places now and then; ndio maana wanakuwa na hamu ya hiyo sex, (of course wapo kibiashara pia).
Mimi ninapenda ule ushauri wa Mbu, mtreat nyumba kubwa kama nyumba ndogo uone jinsi itakavyokuwa. Chumba kile kile, mazingira yale yale yanamboa mwanamke kama ikuboavyo wewe; na new places inamexcite the same way.
Hebu nijaribu kidogo kujibu....lol... Nikikosea of coz utanikosoa MJ1, Sababu zaweza kua zifuatazo....
- Umegundua there are a very few good men out there.... na ukimpata the one who is worth it, he respects you, loves you and takes care of you.... Unaposikia ana mwingine, you understand your fellow lady needs it too....
- Kwamba atleast unapopata taarifa ya nyumba ndogo washukuru atleast I know her.... for whether you like it or not probability ya yeye kuwepo ni kubwa whether to your knowlede or not.
- Ume mature.... Umejua unaposikia ana nyumba ndogo si kwamba anakukomoa, si kwamba hakupendi, na si kwamba you are less of what you were before... ila simply it is in most men's nature.
- You do not love him.... ila tu wamuhitaji katika maisha yako hivo whatever he does you do not give a damn!
- You are not selfish.... sharing is caring....:eyebrows:
BTW...It has been long dear..... Mzima wewe??
Karibu sana ADi na hope unaendelea vizuri,
Hapa umeongea kiutu uzima.....
I wish tungekuwa na wewe toka mwanzo!!
Babu DC!!
Nimegundua kuna wanawake ambao hawawalindi wanaume wao juu ya nyumba ndogo.
@dena amsi, hata kama haumfatilii mume, kwanini uruhusu mazingira ya yeye kuwa na smol house? Mume hajarudi wiki hata moyo usistuke kweli wakati sio kawaida yake!
Mi nikiolewa nitahakikisha narekebisha viashiria vyote kabla havijawa sugu, nitacreate mazingira ya yeye kutokuwa na mawazo ya kuwa na nyumba ndogo.
@kaunga
wanawake wengi wenye vyeo au busy
sex inakuwa kama by the way
ukimuona anacheat na dereva au mkata majani
jua mmewe hampi kabisa au anampa kwa masharti sana
anafanya kwa sababu biolojia inahitaji
huwezi mfuata kati kati ya muda wa kazi ukampe cha fasta
kwanza schedule inaweza kuwa tight
hadi kuwe na appointment ambayo pia inapunguza excitement.
Angalia hata wanamme walio busy sana afu wake zao wako aido kama mama wa nyumbani
hawa ndo huwa wana risk ya kumegewa hata na hausi boi.
Kadiri ubize unavyoongezeka, tamaa/hamu ya sex inapungua wote kwa wanamme na wanawake.
Wapendwa je wote mu wazima?
Nisaidieni ninaomba kwani nafikiri sijitambui au sijijui.
Mbona mimi sipati shida wala kushtushwa na suala zima la nyumba ndogo!!
Je inawezekana kuwa sijawahi kupenda? au?
Je kuna mwenzangu/wenzangu ambao wana hali kama hii?
Nimegundua kuna wanawake ambao hawawalindi wanaume wao juu ya nyumba ndogo.
@dena amsi, hata kama haumfatilii mume, kwanini uruhusu mazingira ya yeye kuwa na smol house? Mume hajarudi wiki hata moyo usistuke kweli wakati sio kawaida yake!
Mi nikiolewa nitahakikisha narekebisha viashiria vyote kabla havijawa sugu, nitacreate mazingira ya yeye kutokuwa na mawazo ya kuwa na nyumba ndogo.
U busy na nini? Watanzania kuna nyanja nyingine tuko busy zaidi ya mahusiano? Anyway correct me if am wrong....uthibitisho ni toka miaka hamsini ya uhuru hali yetu inazidi kudorora siku hadi siku...kila siku afadhali ya jana.
Nimegundua kuna wanawake ambao hawawalindi wanaume wao juu ya nyumba ndogo.
@dena amsi, hata kama haumfatilii mume, kwanini uruhusu mazingira ya yeye kuwa na smol house? Mume hajarudi wiki hata moyo usistuke kweli wakati sio kawaida yake!
Mi nikiolewa nitahakikisha narekebisha viashiria vyote kabla havijawa sugu, nitacreate mazingira ya yeye kutokuwa na mawazo ya kuwa na nyumba ndogo.
Hebu nijaribu kidogo kujibu....lol... Nikikosea of coz utanikosoa MJ1, Sababu zaweza kua zifuatazo....
- Umegundua there are a very few good men out there.... na ukimpata the one who is worth it, he respects you, loves you and takes care of you.... Unaposikia ana mwingine, you understand your fellow lady needs it too....
- Kwamba atleast unapopata taarifa ya nyumba ndogo washukuru atleast I know her.... for whether you like it or not probability ya yeye kuwepo ni kubwa whether to your knowlede or not.
- Ume mature.... Umejua unaposikia ana nyumba ndogo si kwamba anakukomoa, si kwamba hakupendi, na si kwamba you are less of what you were before... ila simply it is in most men's nature.
- You do not love him.... ila tu wamuhitaji katika maisha yako hivo whatever he does you do not give a damn!
- You are not selfish.... sharing is caring....:eyebrows:
BTW...It has been long dear..... Mzima wewe??
Nimegundua kuna wanawake ambao hawawalindi wanaume wao juu ya nyumba ndogo.
@dena amsi, hata kama haumfatilii mume, kwanini uruhusu mazingira ya yeye kuwa na smol house? Mume hajarudi wiki hata moyo usistuke kweli wakati sio kawaida yake!
Mi nikiolewa nitahakikisha narekebisha viashiria vyote kabla havijawa sugu, nitacreate mazingira ya yeye kutokuwa na mawazo ya kuwa na nyumba ndogo.
Kua uyaone mtoto wa kike...ingelikuwa kama mambo mengine yana breki kama za gari, ungezikamata kabla mambo hayajaharibika. Ila hata ndege wajanja wananasa na tundu bovu, lol!
what?FP,
akili za wanamme wanazijua wao
kuna dada mmoja, jirani angu
alisafiri kama miezi 3 na watoto wake 2
alivyorudi, akakuta mwanamke mwingine, tena mjamzito
akasema, nikiondoka baba K anaoa kabisa
walikuwa na vyumba 2
akawahi, akawalaza watoto mapema
akawahi kitandani kwao
wakalala wote 3 kitanda kimoja
ilifanyika kwa wiki nzima, badae yule mwanamke akaondoka
hadi leo wapo wanaendelea na ndoa yako
hii ilitokea mwaka 2004
kwa akili za kibinadamu, huwezi elewa kwa nini yule baba alimleta yule mwanamke mwingine kwake wakati anajua mkewe anarudi.
bora sikuwepo hizo enzi............. sijui kama ningeweza kutafuta hata huyo mtaalamEnzi zetu,
Mwanamume wa namna hiyo ama alikuwa anaumwa ugonjwa wa akili au amerogwa...Immediately, mke wake alitakiwa kwenda kumtafutia mtaalamu wa kumkarabati.... Nasikia ilikuwa inafanyakazi hadi anarudia kuwa mzima kabisa!!
Babu DC!!
This is the type of discussion that changes my day from a sunny lovely to a rainy muddy one. . .
Mwanajamiione, nadhani sio lazima Nyumba Ndogo ikukere. wengine wanaona sawa tu. Binafsi kinacho nikera zaidi ni the lies involved. Kama mambo yote yanawekwa wazi, then people can take any decision knowing that it is based on facts, not assumptions.
Ukisema I have the perfect marriage, you know what you mean, ukisema I want to leave my man you know what you mean. But most of men lie to both Nyumba kubwa and Nyumba Ndogo who then believe in things that don't really exist and that is what makes it even uglier than it already is to me.
Mdororo uko kila sehemu hata baada ya miaka hamsini ya uhuru.Mahusiano na uchumi vyote tuko hoi,lol!Unavyosema hali inadorora, unaongelea hali ya nini?
Hali ya mahusiano
hali ya uchumi?
Alter mwenzio siku hizi sibishani na post.... Natoa mawazo yangu incase ninayo.... Tatatiiibu nasepa....lol
MJ1 sio kwamba una tatizo ILA umekuwa. umeanza kuelewa na kujielewa which is a good thing. Enzi za kuishi kwa kufikiria namna ya kupambana na nyumba ndogo, zinaishia kwen teens na mid twenties huko!
Hongera , umekua!
Utakosa kuchukua kombe usipoweza kubishana madam...learn the tricks and stay ahead of the game