Box 2
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 506
- 117
mtoto mmoja alikua anasoma shule tunazoziita international school,baada muhula kwisha mtoto alipewa ripoti y a kitaaluma awapelekee wazaz,kwa bahati nzur mzaz aliekuwepo nyumban alikua baba pekee,baada ya kuisoma ripoti baba alifurahishwa sana na maendeleeo ya binti yake kitaaluma kwan alipata alama 'A' masomo yote lakin mwisho wa ripoti mwl alitoa maoni yake kuwa 'mwanao maendeleo yake kitaaluma ni mazuri sana ila anachonga sana akiwa shuleni ila nimemtafutia dawa,mzazi baada ya kusoma maoni ya mwl akamtumia mwl ujumbe kua anaomba sana iyo dawa ikifanya kazi naye ampe MKEWE..