Tatizo lolote la PC/device

Pc yngu imekumbwa na matatizo yafuatayo naombeni msaada wenu.
1: sensor ya caser imeacha kufanyaa kaz ghafra tu yaan haisens kabsa huwa natumia mouse tu japo spendi.

2: kuna baadhi ya keypad hazibonyezeki kabsa.

3: na juzi nimeshangaa nikibonyeza keypad inatoa sauti afu hairespond chochote adi ubonyeze mara mbili kwa kukandamiza kidogo ndo itarespond.

Nashindwa ata kuandka mambo yangu,nmejarbu kutumia external keyboard lakini haijasaidia tatizo lipo palepale.
 
Unajua ku enable hidden files mkuu, ni windows gani hio? Tungeanza hapa pa kuangalia files zilizofichwa.
Mkuu naomba nisaidie hapa.

juu ya kuokoa mafile na vitu vyangu kwa hii laptop. Niliweka flash yenye virus bila kujua, nilipoona tu shortcuts kibao na sytem volume nikaitoa haraka.kuja kuclick kila app, kila nyimbo, kila document haifunguki!

Inaniletea hiyo sms hapo chini.
IMG_20200127_124945.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu naomba nisaidie hapa.

juu ya kuokoa mafile na vitu vyangu kwa hii laptop. Niliweka flash yenye virus bila kujua, nilipoona tu shortcuts kibao na sytem volume nikaitoa haraka.kuja kuclick kila app, kila nyimbo, kila document haifunguki!

Inaniletea hiyo sms hapo chini.View attachment 1336880

Sent using Jamii Forums mobile app
1. Fanya system restore kama kuna restore point mahala fulani.

Click start kisha search neno system restore then angalia kama unaweza irudisha windows tarehe ya nyuma.

2. Jaribu kuweka program ya malware bytes uone kama itasaidia. Google hio program eka hata trial version.
 
Dah nimefanya vyote haijawezekana.hiyo system restore haibonyezeki na malwarebyte nimeidownload google ila kwenye kuirun naletewa ujumbe huohuo hapo juu.
Kila program ukigusa naletewa hiyo message kasoro internet explorer tu
 
....Aisee za usiku huu. Tatizo langu ni moja ,adapter yangu imelowa maji kwenye begi due to rain. Nikiichomeka kwenye socket inawaka but haiwashi laptop?
 
Wakuu PC yangu no HP nikiiwasha inawasha taa kuonyesha inawaka lakina mwanga haufuki kwenye kioo nimejaribu badili ram lakin wap, HHD pia akin wap nikajua ni kioo kibovu nikachimeka cha nje lakin wap tatizo lipo pale pale msaada wenu wadau
 
mkuu pc yangu nikifungua baadhi ya program inaleta ujumbe "window can not open this App" natumia window 10
 
Wakuu PC yangu no HP nikiiwasha inawasha taa kuonyesha inawaka lakina mwanga haufuki kwenye kioo nimejaribu badili ram lakin wap, HHD pia akin wap nikajua ni kioo kibovu nikachimeka cha nje lakin wap tatizo lipo pale pale msaada wenu wadau
Mkuu ukipata utatuzi naomba unitag maana nimekumbwa na majanga kama yako PC yangu ni HP pia
 
Mambo vp waku nin shida pc yangu kioo kina ukungu ulianza kidgo tu sehem moja lakin sasa umesambaa kioo kizima sijajua solution nafanyaje nahitaji msaada

Sent using Jamii Forums mobile app
peleka kwa Mafundi wafungue Hio Mashine Wafute huo ukungu Ni Kama Kiji jasho flani hivi mfano wewe usige kwenye Kioo hafu Upumue Utaona ukungu umetokea kwa kioo ndo kilichopo Hapo so fanya Hivo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom