Tatizo langu limerudi

mkuu jaribu kucheki kama unasumbuliwa na gesi tumboni maana mimi nikipata gesi tumboni hata nifanye mazoezi gani sipati hata tone la usingizi.
 
Dance class will do..mida ya jioni hivi ufanye zumba, bellydance, hula etc.. Nafanya thrice a week kwa lisaa limoja kila session, nikitoka hapo ni kuoga, kula na kulala fo fo fo..! Nafasi inaweza kuwa ngumu ila jaribu kutenga muda.
Pole sana! na upate suluhisho la tatizo lako mapema RR..!
 
Hahaha, u shldnt let it control you. I get moody in rainy days and since I knew its easy. I stop myself before it is too late, I hold my tongue and see only good in others kwa makusudi!
Well, exercise. But I'd rather u go to the gym than lock urself in. I have the crazy habit of loving my time alone, but I try not to overdo it.
MasturDating... that's the word! yaani ndio mimi kabisaaaa. Spending all my time with me and enjoying it sana tu.
Well, I am not like the crazy scientist na katika hali ya kawaida I am a very social person. Tatizo linakuja sababu ya kukosa usingizi. I become moody and kitu hata cha kawaida kinanikera kupita maelezo! So because I am so susceptible and get easily offended, it is better nijichimbie tu.
 
Kula sana Muhogo. This is not a joke. Namaanisha muhogo na si hogo, ingawa nakukosa hogo kwa uhakika wake inachangia sana kukunyima unapoukosa wa kukushibisha.

Kula Muhogo na hogo kwa wingi.
 
Kuna hii aliitoa mkuu MZIZIMKAVU siku za nyuma kidogo,
(hii ni sehemu tu ya thread nzima)

Jaribu hii, Pakupata kama uko bongo nitafute hata hapa
ofisini ninayo, ni tiba ya ajabu sana hii. Then tuangalie matokeo yake

Jitibu kwa kutumia habasoda

Ukosefu Wa Usingizi
Atachukua kijiko cha Habbat-Sawdaa , achanganye na gilasi ya maziwa moto yaliochanganywa na asali, baada ya kupoa kiasi atakunywa.
 
Ndugu embu angalia icho chumba chako unacholala labda kina mmbu wa kutosha that way unakosa usingizi au hata pengine kuna kunguni
 
Pooole saaaan ..........!!!!!!!!!!!! Kukosa usingizi ni tatizo ambalo linazifanya makampuni makubwa ya dawa kunufaika sana.

Counting sheep helps.
 
mpendwa RR,

mwanadamu ni social animal! ana sehemu 2 kubwa. moja ni member of his/her society na ya pili ni living animal! kwa kawaida, binadamu huwa ana mahitaji fulani na kwa kiwango fulani tu. akizidisha kiwango, huzidiwa na kuchoka, akipungukiwa huhitaji na kutamani!

klatika maisha tunayoishi katika dunia hii, kuna watu ambao naturally hawakupaswa kufahamu kuwa wametoshelezwa walichohitaji na kuna wengine hawakupaswa kujua kuwa wameopungukiwa walichostahili! halikadhalika kuna ambao naturally hawakupaswa kujua kuwa wamehitaji pungufu ya walichostahili na hata wamekistahili pungufu ya walichokirimiwa/walichopewa. hayo ndiyo maisha mpendwa! kwa kuwa umesema umeolewa, nakutoa kwenye kundi la mabinti na nakuweka kwenye kundi la wamama (kama nimekosea ni-PM kwa ufafanuzi zaidi).

ila nimebanwa kidogo na kuitu fulani hapa kwa sasa, nitakujia baadaye kwa ushauri zaidi. tafadhari niwie radhi.

ubarikiwe sana mpendwa

Glory to God!
 
mkuu jaribu kucheki kama unasumbuliwa na gesi tumboni maana mimi nikipata gesi tumboni hata nifanye mazoezi gani sipati hata tone la usingizi.
No, sio tatizo langu. Kwa sasa tumbo liko fine... asante, na pole kwa kukosa usingizi ukipata gas.
 
Dance class will do..mida ya jioni hivi ufanye zumba, bellydance, hula etc.. Nafanya thrice a week kwa lisaa limoja kila section, nikitoka hapo ni kuoga, kula na kulala fo fo fo..! Nafasi inaweza kuwa ngumu ila jaribu kutenga muda.
Pole sana! na upate suluhisho la tatizo lako mapema RR..!
I have a Zumba kit, ngoja nianze hapo. watu wengi wamesema kuhusu mazoezi so...
 
Hahaha, u shldnt let it control you. I get moody in rainy days and since I knew its easy. I stop myself before it is too late, I hold my tongue and see only good in others kwa makusudi!
Well, exercise. But I'd rather u go to the gym than lock urself in. I have the crazy habit of loving my time alone, but I try not to overdo it.
I'll try. I am not a very social person hata kawaida yangu, I don't have any pleasure participating in social gathering and I feel slightly anxious watu wakiwa wengi sana... sasa hili tatizo limekuja kuongeza tu what was there before...
I'll try to go to the gym lakini... thanks love.
 
Kula sana Muhogo. This is not a joke. Namaanisha muhogo na si hogo, ingawa nakukosa hogo kwa uhakika wake inachangia sana kukunyima unapoukosa wa kukushibisha.
Kula Muhogo na hogo kwa wingi.
Point taken. Sina uhakika kama nitaufanyia kazi but asante kwa ushahuri...

mpendwa RR,

mwanadamu ni social animal! ana sehemu 2 kubwa. moja ni member of his/her society na ya pili ni living animal! kwa kawaida, binadamu huwa ana mahitaji fulani na kwa kiwango fulani tu. akizidisha kiwango, huzidiwa na kuchoka, akipungukiwa huhitaji na kutamani!

klatika maisha tunayoishi katika dunia hii, kuna watu ambao naturally hawakupaswa kufahamu kuwa wametoshelezwa walichohitaji na kuna wengine hawakupaswa kujua kuwa wameopungukiwa walichostahili! halikadhalika kuna ambao naturally hawakupaswa kujua kuwa wamehitaji pungufu ya walichostahili na hata wamekistahili pungufu ya walichokirimiwa/walichopewa. hayo ndiyo maisha mpendwa! kwa kuwa umesema umeolewa, nakutoa kwenye kundi la mabinti na nakuweka kwenye kundi la wamama (kama nimekosea ni-PM kwa ufafanuzi zaidi).

ila nimebanwa kidogo na kuitu fulani hapa kwa sasa, nitakujia baadaye kwa ushauri zaidi. tafadhari niwie radhi.

ubarikiwe sana mpendwa

Glory to God!
Miss Judith, nimesoma mara tatu lakini sijaelewa... mahitaji yangu ndio yananinyima usingizi?
(and yes, I am a wife and a mother, hujakosea kabisa)
 
hebu pia jichunguze mambo yako as a woman right?
You could be having perimenopause symptoms.Dont panic -some women start going through perimenopause and even menopause in their thirties.So if you are in that age category, you might visit your gyn and check your hormonal levels.The imbalance of estrogen and progesterone during perimenopause contributes to insomnia.
I just thought you should also consider this factor along with other factors and try remedies that are appropriate.Pole!
 
Hili nalo neno....
Sijui kama ni hilo lakini mana I am not in that age category (I am above or under... lol)
 
Ok, najua ni JF ndiyo source, haipiti siku bila kuchungulia, ukipumzika kidogo unawaza JF, then unachukua kalaptop chako unakata 3 hrs, ukitoka kidogo unakumbuka Mamdenyi unarudi tena JF...unakutana na The Boss na uzi wake...so mi nadhani You need to tatal shutdown of ya PC/Lap(hapa haijalishi wewe ni MOD au la, pls do it) then jishughulishe na michezo like Pulltable au anything kwa mazingira yako then watch out within some weeks, dawa hazitakusaidia coz JF imekuharibu sana.

Mi mwenyewe nilipata hili tatizo nikaachana na JF nikapona kabisa. By the way pole na upone haraka.

My Regard!!

Pamoja sana mkuu.
 
Pole sana Rafiki wangu Kipenzi kwa kukosa usingizi, unafikiria sana nini? kama una mpenzi jaribu pia uwe nae karibu kila usiku awe anakupa maneno matamu na kukumbatia wakati wa usiku ili uweze kupata usingizi mnono nakushauri hivi fanya.

Kutopata usingizi husababisha wazimu (sio kukesha siku moja kwa wale wenye tabia ya kukosa usingizi siku zote). Kukesha kunaweza kumkondesha mtu na hudhurika ubongo.

YENYE KULETA USINGIZI:

1. Miongoni mwa vinavyosababisha usingizi ni mafuta ya tango, hufaa sana kwa wale wenye usingizi mchache wajipake mafuta hayo kichwani.

2. Vilevile mafuta ya busanji ujipake kichwani Busanji kwa lugha ya kiingereza inaitwa ( violet) yanasaidia kuleta usingizi, pia ukitia nyayo zako katika maji ya Uvuguvugu .

3. Pia kunusa manemane na kunywa maji yaliorowekwa manemane.

4. Kunusa zafarani na Tufaha (apple) na pia maji ya zafarani ukayatia kichwani husaidia kuleta usingizi.

5. Kunywa Maziwa yaliyochemshwa ukatia kidogo Sukari huleta usingizi

6. Asali safi mbichi ya nyuki kunywa kabla kulala kwa saa huleta usingizi.

7. Tafuta dawa hii (
Melatonin) - inatibu maradhi ya Alzheimer's, Kansa Saratani, mfadhaiko, UKIMWI, na kukosa usingizi

8.
Hatua nyingine ni kulala kwa wakati uleule sikuzote.
Oga nusu saa hivi kabla ya kulala.
Usinywe Chai au Kahawa au Soda kama Pepsi au Cocacola kabla ya kulala.
Usifanye Mazoezi karibu ya wakati wa kulala bora ufanye mapema.
Kunywa maziwa ya fukuto kiasi.

Jaribu kutumia hizo Dawa Mkuu kisha unipe
Feedback.
 
Back
Top Bottom