Tatizo la vibamia huanziaga hapa

Tatizo la vibamia huanziaga hapa

Babumawe

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2014
Posts
2,585
Reaction score
2,670
I remember pindi nilivyokuwa mdogo nilikuwa napenda sana kushika hili gobole langu huku nikilivutavuta basi baadhi ya wakina mama wa marafiki zangu enzi hizo wananikataza nilikuwa nalia but my mom alikuwa hanikatazi.

Sasa kilichokuja kutokea mimi niko safi kabisa lakini watoto zao vibamia na kila siku wanahangaika kwenda sijui kwa waganga mara nguvu za kiume sijui mie saafiii kabisa.

Wazazi muwe makini hili tatizo la vibamia linaanzaga utotoni kabisa ukiona mwanao anachezeachezea mkuyange muache usimkataze ndo anarefusha taratibu
 
😂😂😂😂😂😂😂
 
Hivi kwanini mnapenda kuhusisha viabamia na tatizo la nguvu za kiume?

Kibamia kibamia na nguvu za kiume ni tatizo lingine sio kila mwenye kibamia ana upungufu
 
Wakati nasoma boarding bafuni mko wengi sasa vijana waliotokea mkoa wa Tanga ndio walikuwa wanaongoza kwa mitarimbo. Nilipowahoji why them?
Wakaniambia mama zao walikuwa wakiwavuta wadudu wao utotoni.
Nami namvuta mwanangu P siku hizi.
 
Fanya hivyo hatojutia ukubwani
 
Nadhani kibamia sababu kubwa ni magonjwa na kutokua na Afya nzuri kwa kipind fulani.
Au kutokula vyakula fulani muhimu.

Mihogo, karanga, manumbu, mazoezi kama yote e.g kuchota maji umbali mrefu.
Hapo nguvu za kiume unazikusanya kama zote tokea utotoni.
Tena sio tokea utotoni ni Tokea upo kwa tumbo la mama yako.
Kwanza tena tokea upo kwenye pumbu za baba ako.
 
Nadhani kibamia sababu kubwa ni maradhi na kutokua na Afya nzuri kwa kipind fulani.
Au kutokula vyakula fulani muhimu.

Mihogo, karanga, manumbu, mazoezi kama yote e.g kuchota maji umbali mrefu.
Hapo nguvu za kiume unazikusanya kama zote tokea utotoni.
Tena sio tokea utotoni ni Tokea upo kwa tumbo la mama yako.
Kwanza tena tokea upo kwenye pumbu za baba ako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]khaaaaah "tokea" zipo nyingi km nn lol
 
Viba100 mkuje mnaitwa huku. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom