Tatizo la umeme halitakuja liishe

Tatizo la umeme halitakuja liishe

Haitakaa itokee kama wafanyakaz wa nchi hii hawana spirit ya kazi.Siku Serikali itakapobadilika na kutumia kulingana na hali yetu kama nchi wafanyakaz watapata morali.Usitegemee mfano Mwl afanye kaz miaka 60 anapewa kiinua mgongo cha m100 halaf mwingine anafanya kaz miaka 5 anapewa zaidi ya 400 halaf mwl huyu afanye kazi kwa juhudi.
Tatizo kubwa ni kuwa keki ya Taifa haigawanywi ipasavyo,hakuna haki na kuna nepotism ya hatari.Thats y anyone anayepata post yenye marupurupu uzalendo wake kwa nchi humomonyoka kidogokidogo kwakuwa anaona loophole kule juu,watu hawauishi udunia ya tatu wetu so anaona avune tu because tumeamua kiwa hivyo.
Natamani waliopo kwenye vyombo vya maamuzi na vyombo vya sheria wangepata uzalendo kidogo mambo yangebadilika
Sidhani kama hata wanaujua huo uzalendo ukoje !!
Wengine wanadhani uzalendo ni kuvaa Bendera ya Taifa shingoni basi amemaliza. !!
 
wengine watakuja kusema hapo tatizo lao la umeme limesababishwa na Zanzibar
 
Back
Top Bottom