Eneo ninaloishi ni daresalama hii hii sijawahi kuona maji yamekatika huu mwaka wa tatu na wala si mbezi beach wala kigamboni.
Mbezi na watoto wake, kimara yote, ubungo yote, kinyerezi na watoto wake shida ya maji lazima ikukumbe tu iwe leo ama kesho ipo siku utakuta hayapo.
Hamia Kiluvya ama Kibamba utanishukuru acha kukaa sehemu zenye shida ya maji toka Rais anaitwa Mkapa shida yao huwa ni hiyohiyo