Mkuu jaribu ku-select manually PAL (I), hiyo ikishindikana basi jaribu kuangalia CHROMA adjustment that is 'SATURATION' pia na TINT, if no go the most likely culprit is lack of colour burst frequecy (4.43Mz for a PAL I system) which rides nyuma ya Luminance kama reference hili isaidie TV kuchambanua rangi (kumbuka rangi huwa inatumwa carrier yake ikiwa suppressed). Zamani kulikuwepo pot kwenye motherboard ya kufanya adjustment kama rangi zikienda haywire, lakini siku hizi inatumika phase locked loop circuit kufanya hilo na zote zinahitaji hiyo 4.43MHz reference frequecy. Ukifanya niliyo eleza hapo ikashindikana basi Sat receiver yako itakuwa na tatizo hilo la kukosekana kwa colour burst frequency. Good day.