Tatizo la printer desk jet d2400 naomba msaada

Tatizo la printer desk jet d2400 naomba msaada

teac kapex

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
470
Reaction score
137
Wadau naomba msaada kujua, mimi nina printer desk jet d2400 nilikuwa nikiitumia zamani toka 2010 sijawahi kuitumia sasa jana niliamua kuitumia lakini cha ajabu haiprint sijui tatizo litakuwa ni nini bado mpya hata ule wino wa kuja nayo ulikuwa haujaisha.
 
Vitu vya umeme vitatatizo sana visipotumiwa kwa muda mrefu. Jaribu kubadilisha wino, utakuwa umekaa sana, labda umeganda.
 
Vitu vya umeme vitatatizo sana visipotumiwa kwa muda mrefu. Jaribu kubadilisha wino, utakuwa umekaa sana, labda umeganda.

Ni miaka kama mitano hivi, je inawezekana ukawa umeganda?
 
Wadau naomba msaada kujua, mimi nina printer desk jet d2400 nilikuwa nikiitumia zamani toka 2010 sijawahi kuitumia sasa jana niliamua kuitumia lkn cha ajabu haiprint sijui tatizo litakuwa ni nini bado mpya hata ule wino wa kuja nayo ulikuwa haujaisha.

tupa catrige hizo kanunue zingine mkuu, ndio shida ya catrige za maji.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom