rosemarie
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 6,887
- 3,419
Hongera sana wana propaganda kwa kuwa mnajua sana kucheza na akili za watawaliwa wenu
Sasa ni rasmi kelele za upungufu wa chakula zimeisha mmeanzisha picha mpya itakayodumu kwa muda kadhaa
Niwasifu tu kwa jinsi mlivyo na akili nyingi kushinda za watawaliwa wenu,
Ila swali moja niwaulize,ni kwa nini issue ya madawa inajitokeza kipindi hiki? Ebu nielezeni tangu Rais Magufuli ameingia madarakani ni kwa nini issue nzima ilikuwa kimya na imejitokeza sasa?
Siku zote mlikuwa mnasubiri nini? Au wale consultant wenu waliwashauri msubiri muitumie kipindi maalum kureplace issue maalum?
Sipendi hizi siasa zenu,ni za kizamani sana halafu haziendi na wakati huku mkijidanganya watawaliwa ni walewale wasiobadilika,,,,,,