Staphylococcus Aureus
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 1,385
- 2,203
Ni ajabu sana kuona watu walio wamoja kwa makabila na tamaduni leo wanajitafautisha kwa misingi ya mkoloni na kujiona ni watu tofauti kabisa richa ya kua ni watu walewale fikaaa.
Ingawa mkoloni kawa ni chanzo kikubwa za watu kujitofautisha lakini pia imani alizoacha mkoloni ndio imekua chanzo kikubwa cha watu kujitenga hata kama ni wamoja.
Katika hili Uslam ndio sababu kubwa ya watu kujitenga na jamii zao maana usilam mara nyingi huwa vuta watu upande wa waarabu na kujiona waarabu au kuona makao makuu yapo uarabuni na kuwatenga na jamii zao
Mifano:
Pakistan kutoka India (wote ni wahindi lakini ni chui na paka)
Chechenia ilitaka kujitenga kutoka Russia
Kossovo
Hivo tatzo kubwa la kujitenga kutokana na dini kwene usilam ni kawaida kwasababu ya ubaguzi au kushindwa kugeuza serikali kua ya kiislam kama vile matamanio ya waislam wengi yanavokuwaga.
Hivo bas Zanzibar inasumbuliwa na vitu viwili:
1. Mabaki ya waarabu
2. Dini ya uislam
Waarabu mabaki wanatamani kurudisha serikali yao ambayo waliikalia nchi kama yao ilihali walipoka kabla hawajatimuliwa na watu wa bara.
Dini
Kama zanzibar ingekua haina usilam kusingekua na harakati za kujitenga au kubeza muungano. Kungekuepo na dini nyingine kusingekua na tofauti kabisa wote tungekua nchi moja. Lakini wazanzibar wamekua wakifundishwa kujibagua na kujitenga kama ambavyo sehemu nyingine duniani zimekua zikifanya kutokana na dini hiyo. Kwao ni bora muarabu awatawale kuliko kuwa nchi moja na watu wa dini nyingine
NB: Ni mawazo yangu binafsi.Nawaza kwa sauti haina maana ya chuki au ubaguzi
MATUSI yataonesha rangi yako halisi