Tatizo la MUCUS kooni

Tatizo la MUCUS kooni

Hiyo hali imenitokea wiki 2 zilizopita nilipata shida kwa mda wa wiki 1, dalili ilianza kama mafua makali, kinywa kilikuwa kichungu, baada ya hapo kooni kunakuwa kama kuna kitu, ukilazimisha kukohoa tunatoka tupande tweupe tugumu tunanuka, kwa sasa mi niko fresh.
Mama watoto nae kabanwa na hali hiyo nae anasema kama kuna kitu kipo kooni akilazimisha kukohoa tunatoka huto tujamaa tweupe tugumu.
Ko nami nimetia kambi hapa kujua hali hiyo inasababishwa na nini na tiba yake ingawa mi nilipona bila kutumia tiba yoyote.
Hizo ni tonsil stone, zinatibika kwa ku gagle na maji vuguvugu yenye chumvi
 
Wakuu habari ...

Nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la mucus kwenye koo linalopelekea nitoe makohozi yenye harufu mbaya sana na kinywa kunuka sana.

Nimekwenda hospitali nikabainika tatizo la post nasal drip... Nikapewa dawa na kushauriwa kutumia mouth wash.

Lakini bado tatizo liko pale pale.

Naombeni msaada tafadhalini hili tatizo linaninyima amani.

Dawa gani nitumie niondokane na hili hali?
Acha kunyonya nyuchi chafu utaoza koo
 
Kunywa dawa za kusafisha tumbo.
 
Kwani hakuna dawa ya kuondoa tonsil stone neg zanguni? Au niende kuzikata hospital maana zinahifadhi vijiwe vyenye bad smell
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom