Tatizo la MUCUS kooni

Tatizo la MUCUS kooni

Kamua ndimu tatu kwenye glass yenye maji, kunywa asubuhi kabla hujala chochote na jioni baada ya kula, jizoeshe kutafuna tangawizi mara kwa mara au kitunguu swaumu japo punje tatu.
Kiufupi magonjwa yote husababishwa na mucus ambao hutokea baada ya mwili kujaa toxin mbalimbali.
Fanya detoxification either kwa kufunga au kureplace chakula kwa matunda au kuruka milo (intermittent fasting) ikiambatana na hivyo viungo dawa japo juu.
Wiki mbili nyingi
Asante kwa ushauri mkuu nitazingatia
 
Hiyo hali imenitokea wiki 2 zilizopita nilipata shida kwa mda wa wiki 1, dalili ilianza kama mafua makali, kinywa kilikuwa kichungu, baada ya hapo kooni kunakuwa kama kuna kitu, ukilazimisha kukohoa tunatoka tupande tweupe tugumu tunanuka, kwa sasa mi niko fresh.
Mama watoto nae kabanwa na hali hiyo nae anasema kama kuna kitu kipo kooni akilazimisha kukohoa tunatoka huto tujamaa tweupe tugumu.
Ko nami nimetia kambi hapa kujua hali hiyo inasababishwa na nini na tiba yake ingawa mi nilipona bila kutumia tiba yoyote.
 
Asante sana mkuu

Labda nijibu maswali yako...



Swali la (1)

Nimekuwa na tatizo takribani miaka mi tano sasa.

Swali la (2)

Makohozi yana rangi ya njano muda mwingine meupe yenye chembe chembe ya vijiwe vidogo sana
Mmmmmm, what if ni kansa, miaka mitano ni mingi sana
 
Mmmmmm, what if ni kansa, miaka mitano ni mingi sana
Mwanzo nilichukulia kawaida ila baada ya kuona hali imekua seriously ndio nikaanza kwenda hospitali ila bado tatizo liko pale pale
 
Wakuu habari ...

Nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la mucus kwenye koo linalopelekea nitoe makohozi yenye harufu mbaya sana na kinywa kunuka sana.

Nimekwenda hospitali nikabainika tatizo la post nasal drip... Nikapewa dawa na kushauriwa kutumia mouth wash.

Lakini bado tatizo liko pale pale.

Naombeni msaada tafadhalini hili tatizo linaninyima amani.

Dawa gani nitumie niondokane na hili hali?
Mucus ya kooni inaitwa diphtheria je umesha pona hiyo Mucus ya kooni Mkuu?
 
Overview. Diphtheria (dif-THEER-e-uh) is a serious bacterial infection that usually affects the mucous membranes of the nose and throat. Diphtheria is extremely rare in the United States and other developed countries thanks to widespread vaccination against the disease.


Diphtheria.jpg

Can diphtheria be cured?
Today, the disease is not only treatable but also preventable with a vaccine. The diphtheria vaccine is usually combined with vaccines for tetanus and whooping cough (pertussis).

Je, diphtheria inaweza kuponywa?
Leo, ugonjwa huo hautibiki tu bali pia unaweza kuzuilika kwa chanjo. Chanjo ya diphtheria kawaida hujumuishwa na chanjo ya pepopunda na kifaduro (pertussis)
Kwa ushahidi wa hayo maandishi hakuna dawa ya kizungu aka dawa ya hospitali itakayo weza kutibu hayo maradhi labda dawa za asili .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom