Tatizo la mtandao ni kero kubwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tatizo la mtandao ni kero kubwa

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by BLUE BALAA, Mar 16, 2011.

 1. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #1
  Mar 16, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Technolojia sasa imeshika kasi duniani kwani kila hatua ya maendeleo the technology must get involved kwahiyo ni kitu serious na lazima isimamiwe vyema. Bali cha ajabu hapa kwetu Tanzania failure ya technology imekuwa sehemu ya technologia yenyewe.

  1. TRA watu wanashindwa kupata tathmini na kulipa kodi zao ukiuliza unaambiwa tu mtandao uko chini
  2. TANESCO huwezi nunua LUKU na huduma nyingine majibu unayopata mtandao uko chini
  3. Bank unaweza fukuzia statement siku mbili (NMB Arusha j3 yote ulikuwa huwezi pata statement - Kisa mtandao uko chini
  4. NSFF nako hivyo hivyo.

  JE HII ITAISHA LINI? AU HILI TATIZO LINATAKIWA KUWA SEHEMU YA MAISHA?
   
 2. X-not

  X-not Member

  #2
  Mar 16, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aisee..
  Nimefurahishwa sana kwamtazamo wako mkuu!
  Tatizo kubwa katika hilo nahisi ni kwa sababu ya kusambaa kwa kirusi cha siasa nchini, mpaka wasome badala ya kutatua matatizo kama hayo kutokana na carrier zao wanafall into politics leaving behind the education they got regardless the expences they used to be there.
  Look aside, how many Engineers, IT's, technicians or even profesors we have whom have forgotten completely who they are and engaged into politics?
  Kwa staili hii tutabaki kurudi nyuma badala ya kusonga mbele.
  Thanx.
   
 3. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #3
  Mar 16, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,584
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Teknolojia inahitaji sana umeme wa uhakika, ambao haupo.
   
 4. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #4
  Mar 16, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Tataizo hili linatokana na n taasisi nyingi na ni sugu kwa serikali kuazisha mifumo ya omyuta bila kuwa na vision na policy hasa ni kitu gani wanataka kuachive kupitia mitandao n hiyo mifumo

  Angalia tume ya Uchaguzi (NEC)wametumia fwedha kibao kukweka mifumo ya komyuta but bado matokeo yalichelwa kutoka hata majimbo ya mjini (Mwanza, Arusha,etc)

  Sabbabu hakuna sera likitokea tatizo hakuna official na technical procedure nini kifanyike. Hakuna perfomance measure kuwa tatizo fulani likitokea basi inatakiwa lirekebishwe within four hours. Mifumo mingi imeanzishwa kiholela tu kama fashion.

  Ukingalia kwa undani mifumo mingi ya kompyuta inatumika kutunza rekodi tu. Wenzetu walioendela wanatumia hii mufumi kuharakisha kutoa huduma , na kufanya decision . Sasa utashangaa system iko down lakini manager bado anauwezo wa kufanya maamuzi? anatumia nini na info gani kufanya maamuzi?? Mazoea.... na politics

  Anyway sisi ni ma slow learner
   
 5. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #5
  Mar 16, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Lakini sasa mwisho wake ni nini? maana mimi naona wala haiwanyimi usingizi. Wewe unakosa huduma na lijitu linakuambia tu MTANDAO UKO CHINI, yani wanaitumia kama DEFENSIVE MECHANISM KWAMBA HAWAHUSIKI TENA NA PERFORMANCE.
   
 6. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #6
  Mar 16, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Lakini sasa mwisho wake ni nini? maana mimi naona wala haiwanyimi usingizi. Wewe unakosa huduma na lijitu linakuambia tu MTANDAO UKO CHINI, yani wanaitumia kama DEFENSIVE MECHANISM KWAMBA HAWAHUSIKI TENA NA PERFORMANCE.
   
Loading...