Mbunge alikuja WIlayani mwezi wa 12 ni mpole kama Piriton zile mbwembwe hana tena, nadhani wameshajua ukweli kuhusu kura na matokeo ya kura.Mbowe alichelewesha maendeleo sasa wana mbunge wao wa viti maalum kwakua hata kabla ya uchaguzi polisi walijua atashinda.
Kwahiyo ana mpango wa kurudusha ushindi au?Mbunge alikuja WIlayani mwezi wa 12 ni mpole kama Piriton zile mbwembwe hana tena, nadhani wameshajua ukweli kuhusu kura na matokeo ya kura
Hata Kim kule Korea ya Kaskazini hacharazi raia wake.Sera ya awamu ya Tano kwa sasa ni kucharaza viboko watu watukutu, sasa tegemea mkuu wa wilaya na mbunge kuja na fimbo za kutosha kuwatandika bakora watu wanaoharibu vyanzo vya maji...
Na bado shame on those CCMMkuu wa Wilaya ya Hai na Mbunge wa Wilaya ya Hai waliahidi kutatua tatizo la maji miezi tu ya kwanza mbunge atakapokuwa amechaguliwa, sasa hivi maji yamekuwa kero sana Bomang'ombe, mliangalie hili swala ni tatizo kubwa sana.