Tatizo la kushindwa kurudia raundi ya pili kwa miaka10 sasa

Mkuu dk8 mabao mawili kwa mwanamke kupiga inawezekana
Mawili??? Mbona machache sana? Mwanamke ukishamkoki vizuri unampigisha mabao mengi sana kwa dkk hizo 8

Ushauri

1. Achana na kula vyakula ambavyo havina vurutubisho (Buggers, mandazi, chapati, broilers, soda n.k)
2. Uwe unafanya mazoezi ya kuutoa mwili jasho jingi na moyo uende mbio - kama jogging
3. Uwe unakunywa maji ya kutosha. Kipimo ni mkojo wako, kama unakojoa mkonjo wa njano iliyokolea basi ujue haujanywa maji ya kutosha
4. Punguza matumizi ya sukari.

Viagra ya Asili
  • Jitahidi kila siku unywe tangawizi kali asubuhi na jioni, ikiwezekana usitie sukari (tangawizi inasaidia mzunguko wa damu)
  • Jitahidi kila siku ule mix ya matikiti, ndizi mbivu na parachichi (tikiti huwa linaamsha nyege, ndizi ina boost energy, parachichi lina virutubisho muhimu sana kwenye hormones. Matunda usile na chakula. Kula matunda wakati tumbo liko wazi ndio utaona faida yake
Nikuhakikishie kama hauna tatizo la stress ukifuata huo utarativu hapo utapiga mashine mpaka ushangae. Ila pia jua kwamba kupiga mabao mengi sio tija. Tija ni kwamba partner wako umemridhisha??. Kumkojolesha mwanamke ni ufundi na sanaa ya hali ya juu. Na pia mechi huwa hazifanani, ni juu yako kuisoma mechi na ujue unatumie mbinu gani kutoa dozi.

Asante.
 
Habari wakuu mimi kijana wa miaka34 nina shida ya kushindwa kurudia raundi ya pili katika tendo kwa miaka 10 Sasa naraund ya kwanza ni dk8 nimemaliza na siwezi rudia Tena hata iweje mpaka baada ya masaa nane.
Mkuu wala usihofu,,huo sio ugonjwa.
Bali ni kukosa hamasa za kuendelea na tendo
Ambazo husababishwa na mwanamke mwenyewe.

*Kwani hata hiyo raundi moja ukiwa mbunifu inatosha kumrudhisha mpenzi wako kila kitu..

-- tulia uwe na confidence.

-- Jitahidi umchezee mpenzi wako muda mrefu.,
Kuzivuta hisia zake.
Jitahidi usimguse kwenye uke, muda mwingi chezea viungo vingine mfano
-matiti.
-- Kitovu.
--Tumbo.
--Mapaja.
--Shingo.
Usiiguse kabisa papuchi..

Hii itampelekea mwanamke kufika kileleni hata kwa kidole nusu. ,
au hata dk 2 ukimpanda mwanamke unamkojoza..

*Kushindwa kurudia raundi inategemea"
-- uzuri.
-- ubunifu wa mwanamke uliyenae kitandani.

Unahitaji upate mwanamke mzuri wa kucheza na ;MIC hutojutia.

Nakuhakikishia siku utapata aina ya mwanamke ninayezungumzia,,
Utarudia hata Mara 5....na kujiona ni mzima wa afya.

Mapenzi ni hisia Mkuu ,hakuhitaji nguvu nyingi kama kusukuma kabati.
 
Mkuu Sasa hapo kwenye tangawizi na ndiz mbivu minavidonda vya tumbo
Shida yako ndo ipo hapa.Ukifanikiwa kutibu vidonda everythin will change.

*Vidonda vikiwa kwenye critical point unaweza kujihisi ni hanithi,hata hiyo first round unaweza ukaomba novena au dua Mungu akusaidie 🤣🤣 manake hali huwa tete .
 
Hiyo hamis mlafi ndio ikoje?
Iyo NAMBA 7
most-popular-sex-positions.jpg
 
Shida yako ndo ipo hapa.Ukifanikiwa kutibu vidonda everythin will change.
*Vidonda vikiwa kwenye critical point unaweza kujihisi ni hanithi,hata hiyo first round unaweza ukaomba novena au dua Mungu akusaidie manake hali huwa tete .
Mkuu shida imeanza hata kabla sijawa navidonda vyatumbo
 
Performance huwa inachangiwa na mambo mengi sana,not only mazoezi ,kuna kitu kibaya sana kwenye performance kinitwa stress,hata ukiwa unafanya mazoezi daily kama una stress nayo inachangia sana...
King kong,huyu tayari ana hofu na stress za kushindwa kuendelea baada ya first round, kwa hiyo anapoteza kujiamini,hata umwambie nini bado hawezi badilika, mimi nadhani cha mwanzo kabisa ni yeye kujiamini kwamba anaweza halafu mengine yafuate.
 
King kong,huyu tayari ana hofu na stress za kushindwa kuendelea baada ya first round, kwa hiyo anapoteza kujiamini,hata umwambie nini bado hawezi badilika, mimi nadhani cha mwanzo kabisa ni yeye kujiamini kwamba anaweza halafu mengine yafuate.
Nashukuru mkuu ntafuata ushauri wako
 
Nashukuru mkuu ntafuata ushauri wako
Angalia wakati unaanza zoezi usiwe na hamasa kama unataka kuua tembo, jaribu kuwa mtulivu kwa maana ya kwamba jikontrol wewe mwenyewe, ukiweza hilo utaongeza hata dakika badala ya 8 utafika mpaka 20 na hata 30, za uhakika.
 
Back
Top Bottom