Tatizo la kushindwa kurudia raundi ya pili kwa miaka10 sasa

Mi huwa napiga goli moja tuuu KWA mke wangu kwa dakika 13 lakini anakuwa kashakojoa za kutosha kabla hata dakika kumi hazijafika...akikojoa namalizia kokojoa dk chache zilobaki....IDADI YA MAGOLI SIYO ISHU,
Mkuu jitahidi upate game time za kutosha.

Dk 13 uwanjani ni ndogo sana kumaliza mchezo.

Siku mkeo akikutana na wahuni ,,ndy utakapojuwa sio watu wazuri ,,
 
Mkuu sina uhakika but i think you dont do sex often,mambo ya kufanya sex once per blue moon ndio matokeo yake hayo. Hormone ya kiume(testosterone) inatakiwa iwepo sana kwenye damu ili tendo liendelee,so ukifanya sex often tendo linastimulate production ya hio hormone, ambayo ndio inachochea wewe kufanya more sex. (assumptions sio facts).
Mkuu unamaanisha natakiwa nifanye sex Mara kwa mara
 
Mi huwa napiga goli moja tuuu KWA mke wangu kwa dakika 13 lakini anakuwa kashakojoa za kutosha kabla hata dakika kumi hazijafika...akikojoa namalizia kokojoa dk chache zilobaki....IDADI YA MAGOLI SIYO ISHU,
Nimekuelewa vizur mkuu
 
Ukikojoa huwa unapiga yowe?,kama ndivyo hiyo hali inasababishwa na wenge au mzunguko wako wa damu sio mzuri kula mbogamboga hasa tembele
Mkuu ndio nilikojoa huwa natoa saut kunguruma Kama nakua natumia energy yakutosha kukamua bao
 
Wala hana changamoto yoyote ile mkuu-Basi tu ni aina ya kijana ambaye ameamua mambo ya kijinga kucheza na saikolojia ya watu wazima.Aina hii ya watu ni changamoto sana kwenye jamii iliyostaarabika kwan huwafanya watu wenye matatizo halisia kupuuzwa kwa sababu za kijinga za watu kama hawa.
Mkuu sababu gani zakijinga wakat naelezea tatizo langu kwakipindi choote Cha miaka10 unafikiria kwa miaka yote siwezi kuwa nimepitia mbinu nyingi ktk hizo mmezozielezea kujaribu kujinasua ktk hii shida maana nakutana nawatu nawashirikisha wananipa hizi mbinu mmezonielezea ndo nazipractise so navoulizwa vingine nakua nimeshavifanya ndio maana najibu hivo kuwa hiki nimekifanya au sijakifanya sio kwamba nimjuaji hivi mkuu ushawahi wahi umwa serious utapitia njia nyingi kulimaliza tatizo
 
Hii mkuu nilishajaribu Mara kwa Mara nkafeli
My friend - To be fair huumwi ni kupoteza muda tu hapa forum,Uzuri technology haidanganyiki,Hii ni third quote unadanganya,Rebeca 83 ameongelea swala la kufanya mara kwa mara na wewe ukajibu hufanyi mara kwa mara- Umeamua kuwa mwongo mchana kweupe kutafuta sympathy ambayo wala haina msingi.
 
Mkuu nachokijibu ndio ukweli wenyewe usijaribu kuashum jinsi unavyofikiria ww labda hujawahi patwa natatizo serious kwa muda mrefu..yote nayojibu sidanganyi nidanganye ili iweje wakat natafuta ufumbuzi washida yangu
 
Mkuu ufanye Leo Kisha uje ufanye baada ya wiki3 hapo tuiteje Sasa ndo Mara kwa Mara hiyo au..minajua Mara kwa Mara niukifanya leo bas baada ya siku moja au mbili unafanya hiyo ndo Mara kwa Mara nijuavyo mim labda uelewa wangu utakua mdogo
 
Nina argue kwendana na unayoyajibu humu forum and not otherwise.
 
Tosheka kijana. Goli moja mbona Baridi tu. Mm mwenzako hata hilo moja halitoki mwanamke ananiambia ameshafika anataka apumzike. Najikuta namlizisha yeye tu mm dude bado lipo wima.
 
Sasa mkuu Hilo lako moja niladakika nyingi Sana mim niladakika8
 
Mkuu ufanye Leo Kisha uje ufanye baada ya wiki3 hapo tuiteje Sasa ndo Mara kwa Mara hiyo au..minajua Mara kwa Mara niukifanya leo bas baada ya siku moja au mbili unafanya hiyo ndo Mara kwa Mara nijuavyo mim labda uelewa wangu utakua mdogo
Huyo Mwanamke wa watu unamtesa tu, embu mpe Scolari tuone kama malalamiko yataendelea 🤣 🤣 . Mtoto wa watu kufanya nae sex mara 1 kwa mwezi huo ni ukatili wa kijinsia.
*Technically baada ya wiki 3 katika mwezi manake mwanamke huingia period.
 
Back
Top Bottom