Tatizo la kushindwa kurudia raundi ya pili kwa miaka10 sasa

Mm ndio maana nimeamua niachane na wanawake kabisa. Nikivaa ndom ndio chombo haimwagi kabisa. lazima nikirudi nimalizie nyeto tu.
Heri wewe, mimi hata nyetohaikubali
Fikiria nipigenyeto dk 30-45 si mateso hayo

Sijawahi piga nyeto nikakojoa
 
Mkuu sio dakika mim nilitaka niwe nauwezo wakurudia roud zingne maana mwenza sianakua anahitaji muendelee hata baada ya saa moja niweze kusimama tuendeleee Sasa inakua tofaut haisimami
ACHA kula chips yai,Anza kula kiafya afya mkuu Mambo yatakaa sawa
 
Hormone ya testosterone ipo chini hii ndio homon ya hamu ya kugegeda inatibika kwa njia ya asili matunda tangawiz au majimoto mimi niliwai kua kawewe nikapona sasa hivi nikikaa kifuan kwa shemeji yako bila goli tano sitatoka.
Maji ya moto kivipi?
 
Habari wakuu mimi kijana wa miaka34 nina shida ya kushindwa kurudia raundi ya pili katika tendo kwa miaka 10 Sasa naraund ya kwanza ni dk8 nimemaliza na siwezi rudia Tena hata iweje mpaka baada ya masaa nane.
una dili na mwanamke mmoja ama una mchepuko/michepuko?

samahani kwa hili swali nataka kujua kama una pata vionjo mbali mbali ama ni mtu mmoja tu!

zaidi ya hapo, chunguza huko nyuma, hasa ule mwaka wa kwanza mambo yalivyoanza, nini hasa kilitokea. heunda umeliacha jibu huko nyuma!

pole kwa hili tatizo, ila tuliza kichwa!
 
Tatizo lako ni la kisaikolojia laweza kusababishwa na punyeto(kujichua) au kuangalia pornograph pia msongo wa mawazo huweza kuwa chanzo; kumzoea mpenzi wako (kumchukulia poapoa), pia sehemu maumbile ya mwenzio kukuzidi ukubwa wa maumbile yako.
Sababu nyingine yawezakuwa yanayosababishwa na hormones imbalance au glands
Waweza kupata matibabu hospitalini au mitishamba, kama unahitaji mitishamba ni text
 
Back
Top Bottom