Tiba ya Fatique inayotokana na tatizo la Thyroid

malembeka18

JF-Expert Member
Jan 26, 2018
2,780
2,716
Habari wakuu, msaada wenu naaangamia.

Nina tatizo la thyroids ambayo imepelekea niwe na fatique uchovu wa mwili muda mrefu, kukosa nguvu za utendaji kazi na kuishiwi hamu ya tendo la ndoa kabisa nguvu kuwa kidogo mno.

Uume ukisimama dakika moja ukiweka ukeni unalala, nateseka sana.
 
N

Nguvu za kiume unazo stop izo dawa za hospitalini ndo zinakufanya ivo
 
Nkistop dawa za hospital in sindo ugonjwa wa thyroid stapona tena
Nani aliye kwambia kuwa ukisimama kutumia dawa za hospitali hutapona tena? Tatizo dawa za Hospitali utakuwa unatumia kila siku aka maishani mwako haziponyeshi ila zitakupa unafuu fulani kwani dawa za hospitali hazitibu hayo maradhi yako ya Thyroid Kwa dawa za asili unaweza kutumia kwa muda fulani na ukaweza kupona maradhi yako nitafute mimi kwa wakati wako ili niweze kukutibia maradhi yako upate kupona uguwa pole.
 
Back
Top Bottom