Tatizo la kushindwa kurudia raundi ya pili kwa miaka10 sasa

Mi huwa napiga goli moja tuuu KWA mke wangu kwa dakika 13 lakini anakuwa kashakojoa za kutosha kabla hata dakika kumi hazijafika...akikojoa namalizia kokojoa dk chache zilobaki....IDADI YA MAGOLI SIYO ISHU,
Sahihi
Idadi yamagoli sio ishu bali muda unaotumia kupata goli

Binafsi natumia dk 30 au zaidi goli moja na demu wangu siku zote anaridhika na nikitaka la pili huwa anagoma kabisa
 
Tosheka kijana. Goli moja mbona Baridi tu. Mm mwenzako hata hilo moja halitoki mwanamke ananiambia ameshafika anataka apumzike. Najikuta namlizisha yeye tu mm dude bado lipo wima.
Wewe km mimi tu
Nikitumia ndomu ndo kabisa.
 
Na kutokujiamin kuwa huwezi kurudia raund pili na hiii inasababisha, moyo unakuwa unasema huwez wakat mwingne unasema unaweza. Hivyo unapaswa kujiamin mkuu kuwa unaweza kurudia.
 
Wataalam wanasema ukiona mazingira ya kiwanja sio badili kiwanja.
Toka nenda kalale na mpenzi wako hotel kali
Full ice mizuka lazima ije

Ukiona tatizo bado
Badili mchezaji uwenda nafsi yako inapenda misambwanda lakini kwa bahati mbaya umebet kwa betina

Au unapenda betina lakini umebet kwa msambwanda
Chochora sio mbaya kupiga ndondo kuset mitambo

Ahhh mapenzi ya kuunganisha 1,2,3
Kwa fasta fasta inategemea na mtoto mwenyewe mautundu yake
Lakini kidume unapiga kimoko fasta alafu unatulia hata masaa 2
Mchuchu aende akaoge kabisa apige na udi wake arudi ground
Na ww nenda kaoge kabisa rudi ground anza kucheza mdogo mdogo kula mbakishie baba uku story kibao kama boya hivi
Muda si muda buster itahamka usiwe na haraka kama fundi viatu
Endelea kuzuga tu , mbaka shaft utaistukia ipo pangoni hapo baba lazima uchukue lisaa limoja ndio filimbi ipigwe ya mapumziko…
 
Unajua humu katika mitandao kuna kudanganyana sana
Kwanza bro nikuhakikishie kama mwanamke umemuandaa vizuri kabisa dk 8 ulizosema zinamtosha kabisa yeye kuridhika

Pili iwapo hujatumia dawa yoyote ya kuongeza nguvu ni kawaida unapomwaga bao la kwanza misuli kuhitaji kulerax na kurudia upya sio hapo kwa hapo angalau upate 10 min za kupumzika kingine ni mwanamke uliye naeje kakupa vitu hadi unavitamani tena, je na yeye anataka tena anakufanyia ushawishi wowote muende tena au kakimbilia bafuni aliporudi kavaa chupi lake au ndo wale hata baada ya kumwagia haendi kujisafisha

We mzima brooo
 
Wataalam wanasema ukiona mazingira ya kiwanja sio badili kiwanja.
Toka nenda kalale na mpenzi wako hotel kali
Full ice mizuka lazima ije

Ukiona tatizo bado
Badili mchezaji uwenda nafsi yako inapenda misambwanda lakini kwa bahati mbaya umebet kwa betina

Au unapenda betina lakini umebet kwa msambwanda
Chochora sio mbaya kupiga ndondo kuset mitambo

Ahhh mapenzi ya kuunganisha 1,2,3
Kwa fasta fasta inategemea na mtoto mwenyewe mautundu yake
Lakini kidume unapiga kimoko fasta alafu unatulia hata masaa 2
Mchuchu aende akaoge kabisa apige na udi wake arudi ground
Na ww nenda kaoge kabisa rudi ground anza kucheza mdogo mdogo kula mbakishie baba uku story kibao kama boya hivi
Muda si muda buster itahamka usiwe na haraka kama fundi viatu
Endelea kuzuga tu , mbaka shaft utaistukia ipo pangoni hapo baba lazima uchukue lisaa limoja ndio filimbi ipigwe ya mapumziko…
Naitumiaga hii unachia kimoko chap hapo babu ikinuka tena hukojoi had kesho yake mnakua mnapumzika mnaendelea tu bao haliji tena
 
Hormone ya testosterone ipo chini hii ndio homon ya hamu ya kugegeda inatibika kwa njia ya asili matunda tangawiz au majimoto mimi niliwai kua kawewe nikapona sasa hivi nikikaa kifuan kwa shemeji yako bila goli tano sitatoka.
Vipi ikiwa mwanzo ulikuwa vizuri baadae ukayumba unajitibia kwa njia hii?
 
Back
Top Bottom