MKUNGA
JF-Expert Member
- Dec 10, 2009
- 441
- 71
Wadau,
Nna mdogo wangu wa kiume kwa mda sasa anasumbuliwa na taizo la kukosa choo, kupata choo kwa shida ama kupata choo aina ya mharo kidogo mara kwa mara. alishauriwa atumie papai pamoja na mbogamboga lakini bado tatizo lipo?Kuna mtu anasema eti ana chango.

- Jee chango ni nini?
- Kuna uhusiano gani kati ya chango na ngiri na tatizo la kutopata choo?
- Jee atumie dawa wanazotangaza waganga wengi walioibuka hivi karibuni kwamba wanatibu matatizo hayo mf. ngiri, constipation (bahusi zina side effects)
- Naamini nitapata majibu ya haya maswali hapa jamvini.