Tatizo la kumbukumbu iliyopitiliza

Tatizo la kumbukumbu iliyopitiliza

Tafuta tiba, sio muda unadata mkuu. Kichaa waga kinaanza taratibu kama hivyo. Ipo siku watu wataanza kukuona unacheka au unalia peke yako.

Ukikumbuka kitu flani cha zamani, unacheka sio kidogo mpaka unalala chini au kulia kinoma na kushangaa sana.
Unahitaji tiba mkuu, See a Psychic ASAP.

Mwisho, kama unakula kaya (Bange), kuberi, sigara yq kusisimua mwili,hasa spoti, ugolo au pombe nakushauri uache mkuu.

Kama ni mtu wa mazoezi, cheza boli, au kimbia (Jogging). Wewe ni mgonjwa mkuu, unahitaji tiba.
Kwanza situmi kilevi cha aina yeyote ile,hata soda natumia mara chache sana kwa mwaka, Pili hii hali haijaanza juzi kwamba ndio nikaamua kuuliza, ni maisha nimeishi nayo kwa muda mrefu tangu nikiwa mdogo,.

Hata hivyo nashukuru kwa ushauri nitafanyia kazi
 
Asante Mkuu, unachosema ni sahihi sana,yaani vitu unajikuta vinakuja tu vyenyewe bila hata kutumia nguvu,sasa unajikuta una mambo mengi yamejaa
Exactly mkuu,, aaani naweza kumbuka nilikuwa pale ilikuwa a,b,c, mpk tamati na bado unakutana na mambo mapya kilal siku, of course me hata situmii nguvu yaje ntayosahau sawa ntayokumbuka pia sawa
 
Kwanza situmi kilevi cha aina yeyote ile,hata soda natumia mara chache sana kwa mwaka, Pili hii hali haijaanza juzi kwamba ndio nikaamua kuuliza, ni maisha nimeishi nayo kwa muda mrefu tangu nikiwa mdogo,.

Hata hivyo nashukuru kwa ushauri nitafanyia kazi

Vizuri umekuwa muungwana na umejitendea haki kukubali ushauri, kuwa na shida flani na ukaishi nayo muda mrefu, hakuna maana kuwa huna shida, mental disorders nyingi watu wanaishi nazo muda mrefu. Ndio maana kuna mtu ana kifafa cha kuto anguka anaishi nacho kwa miaka yake yote, toka akiwa mdogo mpaka uzeeni. Kinakuja kinamwachia ana survive.

Hongera kama hutumii aina yeyote na kilevi cha kusisimua mwili na akili. Zingatia sana tizi (Mazoezi) au aina yeyote ya michezo kukuweka sawa kiakili na kimwili.
 
Habari,
Nimekuwa na tabia ya kukumbuka vitu na matukio yaliyopita kuliko kawaida,au kukumbuka vitu ambayo naweza kusema sio vya muhimu sana.

Mfano kuna watu nimesoma nao levels za chini tangu shule za msingi kuna wengine hua nakutana nao nawakumbuka vizuri ila wao ni kama hawanikumbuki labda niwaambie mimi ni fulani ndio akili inamrudia.
Kuna washkaji Kibao hua nawaona mjini najua kabisa huyu ni fulani na ananiangalia lakini hanitambui ila nikimwambia mimi ni fulani tuliokuwa wote shule fulani ndio anapata picha, kuna mmoja alishanikuta duka fulani akanisalimia kabisa ila hakunijua na mimi kwakuwa sikua na muda nikaona nimwache tu, akapiga story na majamaa wa pale akasepa.

Haiishii hapo yaani kuna maneno fulani ya utani tu niliwahi kuambiwa huko utotoni lakini hadi leo nayakumbuka na sio ya mtu mmoja ni watu tofauti, hata matukio mengi tu nayakumbuka ila ukiwasimulia tuliokuwa nao atasema mbona siikumbuki au nakumbuka kuna kitu kama hicho ila details hakumbuki kabisa.
Haiishii hapo hata harufu za vitu ziwe nzuri au mbaya kama niliwahi kukutana nazo sikunyingi hua zinakaa kichwani kiasi nikiisikia tu inayofanana nayo inanirudisha kwenye ile ya mwanzo, mfano niliwahi kuwa na demu miaka kama 15 iliyopita alikuwa anatumia pafyumu fulani inaitwa Chastity ile harufu ilibaki kichwani kiasi hadi lleo hata nikiwa sehemu mfano kanisani au popote nikihisi mtu kapulizia hua nakumbuka vizuri sana, hata harufu mbaya hivyo hivyo zinanikaa hadi leo.

Hii inakuwa nzuri lakini kuna wakati inaniletea shida ya kushindwa kusahau hasa kama niliambiwa maneno ya kukwaza kwenye argument kiasi wewe ulisahahu ila mimi hua nakumbuka hata ukimkumbusha mtu kwamba uliwahi kuniambia hivi atakwambia si kweli au mbona mi sikumbuki kama niliwahi kusema hivyo,sasa hii si nzuri hasa kama sitaamua kupuuzia.

Kuna t-shirt ya bro wangu alinunuliwa tukiwa na miaka kati ya 7-10 ilikuwa na imendikwa maneno Perth, Melbourne, Sydney, Adelaide, Brisbane, Darwin, Hobart Canberra,baadae ndio nilikua kujua ni majimbo ya Australia huko hasa baada ya kufuatilia.

Nikiwa sekondari nilikuwa na t-shirt iliandikwa "I'm the boss and I don't take shit from anyone"

Mwaka 2012 nilikuwa na t-shirt nyeusi imechorwa sura za mademu wawili mmoja sura yake ilifunikwa na mask nyekundu ya love mwingine haikufunikwa chini imeandikwa "But once again I lost my innocence somewhere along the way, Is it a lose or a gain? Still hard to say.

Kuna jamaa niliwahi kupishana nae miaka mingi imepita t-shirt yake nyuma iliandikwa" Do not go where the path may lead instead go where there's no path and leave a trail"

Hata humu JF kama nikitaka kutafuta uzi fulani hua natafuta kupitia member fulani alicomment nini then naingiza yale maneno kwenye search ndio napata uzi husika au naandika kupitia maneno yangu mwenyewe niliyocomment katika uzi ule ndio na search.

Kuna uzi humu JF nilianzisha wa kuwakumbusha watu fulani ambao kwenye majukwaa mbalimbali hutoa ahadi kwamba "Kuna siku nitaleta uzi kuhusu jambo fulani" Hawa wote nilikua nawakumbuka walitoa ahadi kuhusu kitu gani na kwenye uzi gani ila bahati mbaya hata baada ya kuanzisha uzi ule na kuwaita hawakuwahi kuleta hizo nyuzi zao, sasa sijui ilikua fix au vipi😀

Kwenye maisha ya kawaida inanisaidia sana kukumbuka watu, matukio, hadithi nk,kukumbuka nyimbo mbalimbali mfano hata nisipokuwa na kitabu cha nyimbo kanisani hua nakwama kuimba nyimbo chache sana tena ambazo sio maarufu.
Wakati nikiwa Sekondari nilikuwa napenda sana Rnb na wakati ule tulikua tunandika lyrics so yale maneno hadi leo ukipiga wimbo nayakumbuka mwanzo mwisho, nyimbo nyingi tu mfano.
✅Show me the Meaning-Backstreet Boys
✅More than that-Backstreet
✅Soledad-Westlife
✅La Isla Bonita-Madonna
✅Sacrifice-Elton John
✅Ain't it funny-JLo
✅Nothing at all-Santana
✅Forever more-Puff Johnson
✅I still believe-Mariah Carey
nk
Kuna zile simu za Nokia za zamani(Nokia 1112) ilikua na muito fulani sauti ya kike inaimba "Do you hear me when I say, I waiting, can you answer my call.... ni vitu hua nakumbuka halafu havitoki kichwani kirahisi.

Hata humu JF hua nafuatilia watu wanacomment nini na ndio hua zinanisaidia nikitaka kutafuta uzi na zinanisaidia kuwajua vizuri hata kama sichangii humo nasoma tu

Je kuna mtu inamkuta hali hii? Unafanyaje kusahau hasa yale yasiyo muhimu au ya kukwaza

Ahsante.
View attachment 3545193
It is a blessing. Tumia kipaji hicho kama fursa nyingine kikusaidie.
 
Vizuri umekuwa muungwana na umejitendea haki kukubali ushauri, kuwa na shida flani na ukaishi nayo muda mrefu, hakuna maana kuwa shida, mental disorders nyingi watu wanaishi nazo muda mrefu. Ndio maana kuna mtu ana kifafa cha kuto anguka anaishi nacho kwa miaka yake yote, toka akiwa mdogo mpaka uzeeni. Kinakuja kinamwachia ana survive.

Hongera kama hutumii aina yeyote na kilevi cha kusisimua mwili na akili.
Asante Mkuu,tupo pamoja
 
Habari,
Nimekuwa na tabia ya kukumbuka vitu na matukio yaliyopita kuliko kawaida,au kukumbuka vitu ambayo naweza kusema sio vya muhimu sana.

Mfano kuna watu nimesoma nao levels za chini tangu shule za msingi kuna wengine hua nakutana nao nawakumbuka vizuri ila wao ni kama hawanikumbuki labda niwaambie mimi ni fulani ndio akili inamrudia.
Kuna washkaji Kibao hua nawaona mjini najua kabisa huyu ni fulani na ananiangalia lakini hanitambui ila nikimwambia mimi ni fulani tuliokuwa wote shule fulani ndio anapata picha, kuna mmoja alishanikuta duka fulani akanisalimia kabisa ila hakunijua na mimi kwakuwa sikua na muda nikaona nimwache tu, akapiga story na majamaa wa pale akasepa.

Haiishii hapo yaani kuna maneno fulani ya utani tu niliwahi kuambiwa huko utotoni lakini hadi leo nayakumbuka na sio ya mtu mmoja ni watu tofauti, hata matukio mengi tu nayakumbuka ila ukiwasimulia tuliokuwa nao atasema mbona siikumbuki au nakumbuka kuna kitu kama hicho ila details hakumbuki kabisa.
Haiishii hapo hata harufu za vitu ziwe nzuri au mbaya kama niliwahi kukutana nazo sikunyingi hua zinakaa kichwani kiasi nikiisikia tu inayofanana nayo inanirudisha kwenye ile ya mwanzo, mfano niliwahi kuwa na demu miaka kama 15 iliyopita alikuwa anatumia pafyumu fulani inaitwa Chastity ile harufu ilibaki kichwani kiasi hadi lleo hata nikiwa sehemu mfano kanisani au popote nikihisi mtu kapulizia hua nakumbuka vizuri sana, hata harufu mbaya hivyo hivyo zinanikaa hadi leo.

Hii inakuwa nzuri lakini kuna wakati inaniletea shida ya kushindwa kusahau hasa kama niliambiwa maneno ya kukwaza kwenye argument kiasi wewe ulisahahu ila mimi hua nakumbuka hata ukimkumbusha mtu kwamba uliwahi kuniambia hivi atakwambia si kweli au mbona mi sikumbuki kama niliwahi kusema hivyo,sasa hii si nzuri hasa kama sitaamua kupuuzia.

Kuna t-shirt ya bro wangu alinunuliwa tukiwa na miaka kati ya 7-10 ilikuwa na imendikwa maneno Perth, Melbourne, Sydney, Adelaide, Brisbane, Darwin, Hobart Canberra,baadae ndio nilikua kujua ni majimbo ya Australia huko hasa baada ya kufuatilia.

Nikiwa sekondari nilikuwa na t-shirt iliandikwa "I'm the boss and I don't take shit from anyone"

Mwaka 2012 nilikuwa na t-shirt nyeusi imechorwa sura za mademu wawili mmoja sura yake ilifunikwa na mask nyekundu ya love mwingine haikufunikwa chini imeandikwa "But once again I lost my innocence somewhere along the way, Is it a lose or a gain? Still hard to say.

Kuna jamaa niliwahi kupishana nae miaka mingi imepita t-shirt yake nyuma iliandikwa" Do not go where the path may lead instead go where there's no path and leave a trail"

Hata humu JF kama nikitaka kutafuta uzi fulani hua natafuta kupitia member fulani alicomment nini then naingiza yale maneno kwenye search ndio napata uzi husika au naandika kupitia maneno yangu mwenyewe niliyocomment katika uzi ule ndio na search.

Kuna uzi humu JF nilianzisha wa kuwakumbusha watu fulani ambao kwenye majukwaa mbalimbali hutoa ahadi kwamba "Kuna siku nitaleta uzi kuhusu jambo fulani" Hawa wote nilikua nawakumbuka walitoa ahadi kuhusu kitu gani na kwenye uzi gani ila bahati mbaya hata baada ya kuanzisha uzi ule na kuwaita hawakuwahi kuleta hizo nyuzi zao, sasa sijui ilikua fix au vipi😀

Kwenye maisha ya kawaida inanisaidia sana kukumbuka watu, matukio, hadithi nk,kukumbuka nyimbo mbalimbali mfano hata nisipokuwa na kitabu cha nyimbo kanisani hua nakwama kuimba nyimbo chache sana tena ambazo sio maarufu.
Wakati nikiwa Sekondari nilikuwa napenda sana Rnb na wakati ule tulikua tunandika lyrics so yale maneno hadi leo ukipiga wimbo nayakumbuka mwanzo mwisho, nyimbo nyingi tu mfano.
✅Show me the Meaning-Backstreet Boys
✅More than that-Backstreet
✅Soledad-Westlife
✅La Isla Bonita-Madonna
✅Sacrifice-Elton John
✅Ain't it funny-JLo
✅Nothing at all-Santana
✅Forever more-Puff Johnson
✅I still believe-Mariah Carey
nk
Kuna zile simu za Nokia za zamani(Nokia 1112) ilikua na muito fulani sauti ya kike inaimba "Do you hear me when I say, I waiting, can you answer my call.... ni vitu hua nakumbuka halafu havitoki kichwani kirahisi.

Hata humu JF hua nafuatilia watu wanacomment nini na ndio hua zinanisaidia nikitaka kutafuta uzi na zinanisaidia kuwajua vizuri hata kama sichangii humo nasoma tu

Je kuna mtu inamkuta hali hii? Unafanyaje kusahau hasa yale yasiyo muhimu au ya kukwaza

Ahsante.
View attachment 3545193

Nimesoma nimeona ni kumbukumbu za kawaida sana. Nikiorodhesha zangu hapa unaweza ukazimia. Hizi zako wala usihangaike kudhani ni tatizo ni jambo la KAWAIDA SANA. YAANI NLITEGEMEA UNGEKUWA UNAKUMBUKUMBU ANGALAU YA KUMFIKIA MTOTO WANGU WA DARASA LA 2.. Kumbe bado sana. Anyway. Usijishtukie. Huna tatizo ni jambo la kawaida sana. Hamna jipya hapo.
 
It is a blessing. Tumia kipaji hicho kama fursa nyingine kikusaidie.
😃Asante ngoja nitafute namna, maana pia nina picha za watu za siku nyingi sana zaidi za miaka 15, nadhani hata hawakumbuki walipigia wapi maana pia nikiwa na washkaji hua na na tabia ya kupiga picha bila kuwashtua maana hua naamini ndio zinatoka natural na nzuri, wengine wakiwa na vimwili fulani ila sasa wamebadilika mno
 
Nimesoma nimeona ni kumbukumbu za kawaida sana. Nikiorodhesha zangu hapa unaweza ukazimia. Hizi zako wala usihangaike kudhani ni tatizo ni jambo la KAWAIDA SANA. YAANI NLITEGEMEA UNGEKUWA UNAKUMBUKUMBU ANGALAU YA KUMFIKIA MTOTO WANGU WA DARASA LA 2.. Kumbe bado sana. Anyway. Usijishtukie. Huna tatizo ni jambo la kawaida sana. Hamna jipya hapo.
Sawa nashukuru kusikia hivyo, hebu tusaidie kushea na za kwako tupate kuzimia hapa kaka
 
Sasa huu uzi ni wako. Labda nianzishe uzi wangu. Mfano mwaka 1991 kuna gari liligonga mbwa wangu lilikuwa na usajiri wa SU 346 MITSUBISHI PAJERO.

Mwaka 1984 tulisafiri tukaenda mtembelea mjomba alikuwa ameva suruali ya brown na shirt la eagle jeusi wakati amekuja kutupokea. Alikuwa anaendesha gari Nissan Datsun Double Cabin namba TZ 129
 
🤣🤣
 
Habari,
Nimekuwa na tabia ya kukumbuka vitu na matukio yaliyopita kuliko kawaida,au kukumbuka vitu ambayo naweza kusema sio vya muhimu sana.

Mfano kuna watu nimesoma nao levels za chini tangu shule za msingi kuna wengine hua nakutana nao nawakumbuka vizuri ila wao ni kama hawanikumbuki labda niwaambie mimi ni fulani ndio akili inamrudia.
Kuna washkaji Kibao hua nawaona mjini najua kabisa huyu ni fulani na ananiangalia lakini hanitambui ila nikimwambia mimi ni fulani tuliokuwa wote shule fulani ndio anapata picha, kuna mmoja alishanikuta duka fulani akanisalimia kabisa ila hakunijua na mimi kwakuwa sikua na muda nikaona nimwache tu, akapiga story na majamaa wa pale akasepa.

Haiishii hapo yaani kuna maneno fulani ya utani tu niliwahi kuambiwa huko utotoni lakini hadi leo nayakumbuka na sio ya mtu mmoja ni watu tofauti, hata matukio mengi tu nayakumbuka ila ukiwasimulia tuliokuwa nao atasema mbona siikumbuki au nakumbuka kuna kitu kama hicho ila details hakumbuki kabisa.
Haiishii hapo hata harufu za vitu ziwe nzuri au mbaya kama niliwahi kukutana nazo sikunyingi hua zinakaa kichwani kiasi nikiisikia tu inayofanana nayo inanirudisha kwenye ile ya mwanzo, mfano niliwahi kuwa na demu miaka kama 15 iliyopita alikuwa anatumia pafyumu fulani inaitwa Chastity ile harufu ilibaki kichwani kiasi hadi lleo hata nikiwa sehemu mfano kanisani au popote nikihisi mtu kapulizia hua nakumbuka vizuri sana, hata harufu mbaya hivyo hivyo zinanikaa hadi leo.

Hii inakuwa nzuri lakini kuna wakati inaniletea shida ya kushindwa kusahau hasa kama niliambiwa maneno ya kukwaza kwenye argument kiasi wewe ulisahahu ila mimi hua nakumbuka hata ukimkumbusha mtu kwamba uliwahi kuniambia hivi atakwambia si kweli au mbona mi sikumbuki kama niliwahi kusema hivyo,sasa hii si nzuri hasa kama sitaamua kupuuzia.

Kuna t-shirt ya bro wangu alinunuliwa tukiwa na miaka kati ya 7-10 ilikuwa na imendikwa maneno Perth, Melbourne, Sydney, Adelaide, Brisbane, Darwin, Hobart Canberra,baadae ndio nilikua kujua ni majimbo ya Australia huko hasa baada ya kufuatilia.

Nikiwa sekondari nilikuwa na t-shirt iliandikwa "I'm the boss and I don't take shit from anyone"

Mwaka 2012 nilikuwa na t-shirt nyeusi imechorwa sura za mademu wawili mmoja sura yake ilifunikwa na mask nyekundu ya love mwingine haikufunikwa chini imeandikwa "But once again I lost my innocence somewhere along the way, Is it a lose or a gain? Still hard to say.

Kuna jamaa niliwahi kupishana nae miaka mingi imepita t-shirt yake nyuma iliandikwa" Do not go where the path may lead instead go where there's no path and leave a trail"

Hata humu JF kama nikitaka kutafuta uzi fulani hua natafuta kupitia member fulani alicomment nini then naingiza yale maneno kwenye search ndio napata uzi husika au naandika kupitia maneno yangu mwenyewe niliyocomment katika uzi ule ndio na search.

Kuna uzi humu JF nilianzisha wa kuwakumbusha watu fulani ambao kwenye majukwaa mbalimbali hutoa ahadi kwamba "Kuna siku nitaleta uzi kuhusu jambo fulani" Hawa wote nilikua nawakumbuka walitoa ahadi kuhusu kitu gani na kwenye uzi gani ila bahati mbaya hata baada ya kuanzisha uzi ule na kuwaita hawakuwahi kuleta hizo nyuzi zao, sasa sijui ilikua fix au vipi😀

Kwenye maisha ya kawaida inanisaidia sana kukumbuka watu, matukio, hadithi nk,kukumbuka nyimbo mbalimbali mfano hata nisipokuwa na kitabu cha nyimbo kanisani hua nakwama kuimba nyimbo chache sana tena ambazo sio maarufu.
Wakati nikiwa Sekondari nilikuwa napenda sana Rnb na wakati ule tulikua tunandika lyrics so yale maneno hadi leo ukipiga wimbo nayakumbuka mwanzo mwisho, nyimbo nyingi tu mfano.
✅Show me the Meaning-Backstreet Boys
✅More than that-Backstreet
✅Soledad-Westlife
✅La Isla Bonita-Madonna
✅Sacrifice-Elton John
✅Ain't it funny-JLo
✅Nothing at all-Santana
✅Forever more-Puff Johnson
✅I still believe-Mariah Carey
nk
Kuna zile simu za Nokia za zamani(Nokia 1112) ilikua na muito fulani sauti ya kike inaimba "Do you hear me when I say, I waiting, can you answer my call.... ni vitu hua nakumbuka halafu havitoki kichwani kirahisi.

Hata humu JF hua nafuatilia watu wanacomment nini na ndio hua zinanisaidia nikitaka kutafuta uzi na zinanisaidia kuwajua vizuri hata kama sichangii humo nasoma tu

Je kuna mtu inamkuta hali hii? Unafanyaje kusahau hasa yale yasiyo muhimu au ya kukwaza

Ahsante.
View attachment 3545193
Kwani kuna shida kukumbuka vitu vilivyotokea zamani, mimi ni mmoja wao, huwa ninakumbuka vitu na matukio mbali mbali vilivyonitokea zamani wakati nakua, nina uncle wangu alifunga ndoa mwaka 1983 kijijini, juzi hapa tukawa tunapiga story za miaka ya nyuma nikamkumbusha juu ya harusi yake ilivyokuwa na sare ambazo mama zangu walishona, siku hiyo, akawa anashangaa bado nakumbuka wakati nilikuwa binti mdogo sana huo mwaka......Binafsi huwa naona ni NEEMA ambayo Mungu ameiachilia kwangu kukumbuka matukio vya miaka ya nyuma
 
Tuanzie hapa,

Ulifaulu vp Olevel, A-level, na chuo

Maana ulichoongea hakikusaidiii

Angalau huku tutajua kumbukumbu zimekusaidia vp
 
Back
Top Bottom