Tatizo la kumbukumbu iliyopitiliza

Tatizo la kumbukumbu iliyopitiliza

Ukiwa na mambo mengi kuhusu maisha yanakukeepbusy wakati wote( una biashara zako, mashamba, mifugo nk) huo muda wa kukumbuka vitu vidogo mfano mtu mliyesoma naye darasa la kwanza unautoa wapi
Hakuna ukweli wowote katika hilo, kwani hakuna muda wa kupumzika?una kuwa bize 24/7
 
Kiasi chake mm nakumbuka hata vitu vya 2004 huko, hata darasani sijawahi kuwa wa kwanza Ila hata sasa hv nakumbuka vitu vzr mpk mtu anakuambia kwann usitafute shule ufundishe

Wakati mwingine sipend nione vitu vingi au mtu anielezee mambo yake maake kusahau kwangu inakuwa ngumu aseeh,

Hata nikivurugwa vipi, nikitulia tuu files zina jirudia zenyewe,

Hongera mkuu
 
Tafuta tiba, sio muda unadata mkuu. Kichaa waga kinaanza taratibu kama hivyo. Ipo siku watu wataanza kukuona unacheka au unalia peke yako. Hiyo ya kusema una kumbukumbu sana, unataka kujijaza ujinga wakati unaumwa mkuu. Hiyo ni "mental disorder" unayo.

Itafika kipindi utakuwa unakumbuka vitu na unapata unusual emotions, ubongo wangu utatafsiri vibaya kumbukumbu hizo, Ukikumbuka kitu flani cha zamani, unacheka sio kidogo mpaka unalala chini au kulia kinoma na kushangaa sana.
Unahitaji tiba mkuu, See a Psychic ASAP.

Mwisho, kama unakula kaya (Bange), kuberi, sigara yq kusisimua mwili,hasa spoti, ugolo au pombe nakushauri uache mkuu.

Kama ni mtu wa mazoezi, cheza boli, au kimbia (Jogging). Wewe ni mgonjwa mkuu, unahitaji tiba.
 
Kiasi chake mm nakumbuka hata vitu vya 2004 huko, hata darasani sijawahi kuwa wa kwanza Ila hata sasa hv nakumbuka vitu vzr mpk mtu anakuambia kwann usitafute shule ufundishe

Wakati mwingine sipend nione vitu vingi au mtu anielezee mambo yake maake kusahau kwangu inakuwa ngumu aseeh,

Hata nikivurugwa vipi, nikitulia tuu files zina jirudia zenyewe,

Hongera mkuu
Asante Mkuu, unachosema ni sahihi sana,yaani vitu unajikuta vinakuja tu vyenyewe bila hata kutumia nguvu,sasa unajikuta una mambo mengi yamejaa
 
Back
Top Bottom