Tatizo la kula/kutafuna kucha

Tatizo la kula/kutafuna kucha

mshana jr nimeanza kula kucha kabla sijaanza kusoma chekechea mpaka sasa hivi naendelea kula kucha na watoto wangu nao wanakula kucha kama kawaida.
nakupinga unaposema kula kucha ni dalali ya uoga,kutojiamini,upweke nk
 
Kipengele cha hulka na kuiga pia hukukiona? Na kuna mahali pia nimesema ni kizalia pia hukuona hapo? Sababu za kula kucha zipo nyingi kwahiyo huwezi kutumia kigezo kimoja tu.....
 
Mie nina mtindo huo na siuiti tatizo Cz it doesn't affect me kiakili wala kimwili. ts kinda funny and stress relief wen u got nothing to do. Huwa am trying to stop it during Ramadan tuu
 
Mie nina mtindo huo na siuiti tatizo Cz it doesn't affect me kiakili wala kimwili. ts kinda funny and stress relief wen u got nothing to do. Huwa am trying to stop it during Ramadan tuu
It's a problem but you are not aware of it
 
mshana jr hivi hii ya kusugua mguu chini wakiupinda pinda na kula kucha kwa wadada wanaotongozwa mara ya kwanza unaweza kuidadavua kesho?yaani mahusiano yake na nguvu za kimwili na kiroho??asante
Hahhahahaaaa kuna vitu vitatu vinahusika
Mguu-angalia unapoanzia
Mkono -ndio wa kushika ama kuchojoa
Macho -ndio kiunganishi cha kuona na kutengeneza hisia
*hapa mdomo wala masikio sio muhimu sana...lakini hivyo vitatu ndio hutengeneza ule utatu unaokamilisha tendo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom