Angelnation
Member
- Feb 17, 2017
- 45
- 30
Mkuu, huyo achapwe
Rafiki haisababishwi na kuwa happy mda wote! Ni ugonjwa unaowapata akina dada unaotokana na kukosa dyudyu kwa mda mrefu!🙂Asa si ndio vizuri kuwa happy muda wote
Hii tabia ipo na nadhani ni tatizo. Kuna mama namfahamu aisee ukianza kuongea nae tu! Full kicheko mpaka anaishiwa nguvu.
Na ni tabia inayokera na naamini inaleta ugumu flani kwa anaecheka.
walau umeongea kitaalam
inasikitisha majibu ya kebehi, dharau na ya kimatusi yalokuwa yakitolewa na wachangiaji wengine
na hiyo ndo hali halisi ya tanzania, kuna watu wana matatizo, ila hawatafuti kuyatatua kwasababu kuna watu hawato msaidia kwa ushauri wowote zaidi ya kumkebehi na kumuona wa hovyo bila hata ya kujaribu kuelewa the genuine problem ambalo mtu analo
mbona watu wameshatoa majibu mujarabu kabisa wamtafutie mwanaume atapona. Huo ugonjwa unatokea sana shule za girls tupu na ndio maana zamani kulikuwaga na madisco kipindi cha graduation wanaalika shule ya boys na kipindi blues inapigwa taa zinazimwa dk kama 10 zikiwashwa mademu wote wameshapona kuchekacheka baadae inapigwa reggae disco linaendelea. Shule za siku hizi sijui wanakwama wapiKweli Kabisa, mtu kukaa kimya anaona kuna kitu kitapungua sijui kwake[emoji1435]♂[emoji1435]♂
Wanakazana tu kutoa pumba, wakati hii shida mi anayo rafiki yangu ni msela.. na huwa yeye mwenyewe haipendi inamtesa, let’s be serious guys linaweza kumpata hata mwanao