Tatizo la kuchekacheka linasababishwa na nini?

Habari zenu wakuu.

Kuna binti mmoja mtoto wa shangazi yangu ana umri wa miaka 21. Alinijia kuniomba ushauri juu ya tatizo la kuchekacheka. Anasema huwa anacheka sana bila sababu tena hata kwa mambo yasiyochekesha.

Anasema amekuwa akitumia dawa za mitishamaba lakini hazijatatua tatizo lake.

Anashindwa hata kwenda kanisani kwakuwa anashindwa kujizuia kucheka.

Kwa yeyote mwenye ufahamu juu ya sababu na suluhu ya tatizo hili ntashukuru sana kwa ufafanuzi wake.

Ahsanteni sana
Akipigwa Mashine atakaa sawa
 
Shida yake iko ki saikolojia zaid...
Kuna kitu kinatakiwa kifanywe.. ili kuishape mind yake...
 
mhudhurishe misiba tu..
mtembeze mochwari kila mara..
akiendelea kucheka cheka, mwache wodi ya vichaa sasa atapata dawa kwa wenzie
Kuna watu wamo humu uraiani ila sio makazi yao kabisa...
 
Habari zenu wakuu,

Kuna binti mmoja mtoto wa shangazi yangu ana umri wa miaka 21. Alinijia kuniomba ushauri juu ya tatizo la kuchekacheka. Anasema huwa anacheka sana bila sababu tena hata kwa mambo yasiyochekesha.

Anasema amekuwa akitumia dawa za mitishamaba lakini hazijatatua tatizo lake.
Anashindwa hata kwenda kanisani kwakuwa anashindwa kujizuia kucheka.

Kwa yeyote mwenye ufahamu juu ya sababu na suluhu ya tatizo hili nitashukuru sana kwa ufafanuzi wake.

Ahsanteni sana
Ni genye tu hizooo MPE dushee
 
nyege zinamsumbua
 
Mafuta ya taa sio nzur Siku hz,
Sex ndo tiba pekee mpe mambo vizur
Ila hilo sio tatzo LA siku moja
Mpe mambo daily
Ndan ya WK 2 kimyaa, anaanza kuwa serious
 
Habari zenu wakuu,

Kuna binti mmoja mtoto wa shangazi yangu ana umri wa miaka 21. Alinijia kuniomba ushauri juu ya tatizo la kuchekacheka. Anasema huwa anacheka sana bila sababu tena hata kwa mambo yasiyochekesha.

Anasema amekuwa akitumia dawa za mitishamaba lakini hazijatatua tatizo lake.
Anashindwa hata kwenda kanisani kwakuwa anashindwa kujizuia kucheka.

Kwa yeyote mwenye ufahamu juu ya sababu na suluhu ya tatizo hili nitashukuru sana kwa ufafanuzi wake.

Ahsanteni sana
hatua ya kwanzaha kuacha kucheka ni kupunguza kuonga asiwe muongeaji

kwa maana hucheka akiongea, ajifunze kuwa kimya

kwenye maneno kumi aongee moja

walomzunguka watapunguza kumuongelesha
 
Tatizo hilo kitaalamu linaitwa Pseudobulbar affect(PBA) na dalili ya mwanzo ya mtu mwenye PBA ni kushindwa kujizuia kucheka au kulia kwenye mambo ambayo wengine wanaona ni ya kawaida tu.

PBA inawapata watu hasa wenye matatizo ya kiniunyorojia na wale wenye majeraha ya ubungo kama vile.......

Stroke

Amyotrophic lateral sclerosis (ALS)l

Multiple sclerosis (MS)

Traumatic brain injury

Alzheimer's disease

Parkinson's disease

Tatizo hilo likizi humfanya mtu ajitenge na jamii, kuwa na aibu, wasiwasi na hofu.

Mpeleke au mshauri amuone mtaalamu wa magonjwa ya akili (psychriast) au mtaalamu wa magonjwa ya neva(neurologist).
 
Habari zenu wakuu,

Kuna binti mmoja mtoto wa shangazi yangu ana umri wa miaka 21. Alinijia kuniomba ushauri juu ya tatizo la kuchekacheka. Anasema huwa anacheka sana bila sababu tena hata kwa mambo yasiyochekesha.

Anasema amekuwa akitumia dawa za mitishamaba lakini hazijatatua tatizo lake.
Anashindwa hata kwenda kanisani kwakuwa anashindwa kujizuia kucheka.

Kwa yeyote mwenye ufahamu juu ya sababu na suluhu ya tatizo hili nitashukuru sana kwa ufafanuzi wake.

Ahsanteni sana
mwambie ikitokea hivyo ijifinye mwenyewe!
 
Waambie nyumbani kwao waache kula milo iyojaa maharagwe na dagaa hivyo vyakula vinaongeza shida hiyo au waweke mafuta ya taa kidogoo kwenye iyo milo hayo matatizo ya chekacheka yatakwisha au kitaalam inaitwa hesiteria.

Lakini pia huyo mwathirika afanye mazoezi ya mwili ili kuregulate oestrogen iliyozidi mwilini ili asipagawe na hamu ya kupitiliza ya ngono.
 
Tatizo hilo kitaalamu linaitwa Pseudobulbar affect(PBA) na dalili ya mwanzo ya mtu mwenye PBA ni kushindwa kujizuia kucheka au kulia kwenye mambo ambayo wengine wanaona ni ya kawaida tu....
walau umeongea kitaalam

inasikitisha majibu ya kebehi, dharau na ya kimatusi yalokuwa yakitolewa na wachangiaji wengine

na hiyo ndo hali halisi ya tanzania, kuna watu wana matatizo, ila hawatafuti kuyatatua kwasababu kuna watu hawato msaidia kwa ushauri wowote zaidi ya kumkebehi na kumuona wa hovyo bila hata ya kujaribu kuelewa the genuine problem ambalo mtu analo
 
Back
Top Bottom