Habari zenu wakuu,
Kuna binti mmoja mtoto wa shangazi yangu ana umri wa miaka 21. Alinijia kuniomba ushauri juu ya tatizo la kuchekacheka. Anasema huwa anacheka sana bila sababu tena hata kwa mambo yasiyochekesha.
Anasema amekuwa akitumia dawa za mitishamaba lakini hazijatatua tatizo lake.
Anashindwa hata kwenda kanisani kwakuwa anashindwa kujizuia kucheka.
Kwa yeyote mwenye ufahamu juu ya sababu na suluhu ya tatizo hili nitashukuru sana kwa ufafanuzi wake.
Ahsanteni sana