Naughty by nature
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 2,119
- 2,365
Twanga kitunguu swaumu huwe unajipaka wkt wa kulala,pia jifanyie visomo vya rukya,usiende kwa manabii ni matapeliMchana majukumu mengi mkuu!
Ndio nimepata mda wa kuperuzi wakati nacheki BBC hapa.
By the way mimi ndio natakiwa niwe muoga maana naishi mwenyewe na nyumba ni kubwa.
Au wew hata maneno yanakukosesha usingizi?