Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 8,247
- 25,188
Luka 11:24-26Amen nimajaribu kwenye maombi ila huwa vinatulia na baadae kurudi (hali ya kuwashwa)
Pepo mchafu akimtoka mtu anazunguka akitafuta mahali pa kupunzika, asipopata anasema, kwanini nisirudi kwenye nyumba yangu, akirudi akikuta Ile nyumba ni safi na imepangwa, huondoka na kwenda kuchukua wenzake Saba wachafu na kuingia kuishi humo, hali sasa ya yule mtu inakuwa mbaya kuliko ya kwanza.
