Hii simu siku hz nikitaka download program play store inaandika insufficient space on device wakati nafasi ni kubwa..
sijajua tatizo nini hapa
msaada tafadhali
nime change ila imekataaaa
Angalia kwanza internal storage imebakia storage kiasi gani angalia pia memory card isije kuwa umeshabadilishiwa na kuwekewa ndogo
NB: toa apps zisizotumika kuokoa nafasi
Mkuu yakwangu ni Y300_0151 haichezi Youtube zinazowekwa hapa jamvini.
Nifanyeje?
intenal memory ni 57mb na kwenye memory card ni 137...halafu nataka kuchukua program ya mb 12 ila inaandika insufficient space on device
Tatizo huelezi kiundani kuwa ukitaka kuplay inafanyaje. Mimi napata white screen kwa hiyo ninachofanya ni kucopy link ya hiyo video hapo juu na kupaste kwenye youtube app na kusearch mambo safi.