Tatizo la free space kwenye Huawei y330 nifanyaje?

Tatizo la free space kwenye Huawei y330 nifanyaje?

Hii simu siku hz nikitaka download program play store inaandika insufficient space on device wakati nafasi ni kubwa..
sijajua tatizo nini hapa

msaada tafadhali

tatizo lako kama langu mkuu.
 
Ebwana na mimi simu yangu sijui ina virus au vp? Ina zima na kuwaka kila saa,niki factory reset Apps zinakataa kufutika,msaada plz.
 
Jaribuni Ku tafuta fikder la call recoder then lifuteni.. Nadhani itasaidia
 
Dogo baadhi ya applications lazima zikae kwenye phone na wala ni memory card mfano hiyo play store haiwezi kaa kweny memory kwa vyovyote!! Hivyo basi hamisha baadh ya app ambazo zinweza kukaa kweny memory card na nyingine uziondoe kabisaa!!
 
Halafu ndugu zangu naona mnalalamika na hayo matatizo bila kutaja aina za simu mnazotumia ni kutoka kampuni gani ili tujue.

Hivi sasa makampuni yanayotengeneza smart phone ni nyingi nawengi wananunua.Nilichogundua baadhi ya sim RAM inayoandikwa na uhalisia wa inayorumika nitofauti na hata ukubwa wa internal memory no hivyohivyo.

Kwahiyo unaweza kuta unaoneshwa RAM kubwa au internal memory kubwa kumbe ndani wameinstall ndogo ambayo itakufanya ushindwe kuhifadhi mafaili makubwa.Hivyo hilo pia mlitambue kwenye simu za kichina kama ndizo mnazotumia.
 
hilo tatizo ni sugu ktk huawei y300! Je nikirestore vp zile za tigo zilizofanyiwa flashing zitaji lock tena au?
 
Hilo tatizo lilinisumbua sana, simu hizi Ascend za Huawei zina tatizo kubwa sana la kuwa affected na junks, hata Samsung sometimes,

SOLUTION

-Fanya juu chini uInstall app ya DU speed boster, au hata Clean Master...zote zipo play store, ukishaInstall on your phone, start detecting the phone's junks and eventually you will see the 'clean trash/junks' .

Click hapo and you are done.
 
Hilo tatizo lilinisumbua sana, simu hizi Ascend za Huawei zina tatizo kubwa sana la kuwa affected na junks, hata Samsung sometimes,

SOLUTION

-Fanya juu chini uInstall app ya DU speed boster, au hata Clean Master... zote zipo play store, ukishaInstall on your phone, start detecting the phone's junks and eventually you will see the 'clean trash/junks' .

Click hapo and you are done.

Tuta download vp mkuu wakat play store ukitaka ku download inakataa inasema insufficient memory
 
Halafu ndugu zangu naona mnalalamika na hayo matatizo bila kutaja aina za simu mnazotumia ni kutoka kampuni gani ili tujue.

Hivi sasa makampuni yanayotengeneza smart phone ni nyingi nawengi wananunua.Nilichogundua baadhi ya sim RAM inayoandikwa na uhalisia wa inayorumika nitofauti na hata ukubwa wa internal memory no hivyohivyo.

Kwahiyo unaweza kuta unaoneshwa RAM kubwa au internal memory kubwa kumbe ndani wameinstall ndogo ambayo itakufanya ushindwe kuhifadhi mafaili makubwa.Hivyo hilo pia mlitambue kwenye simu za kichina kama ndizo mnazotumia.

mimi yangu samsung garaxy ace, mwanzo ilikuwa inauwezo wakuifazi mafaili makubwa.ila sasa hivi nafasi imekuwa ndogo nikidownroad yanakata.

Mwanzo nilikuwa na skype, facebook,vibe.

Lakini zote imebidi niachane nazo.
 
Nimewahi kuwa na simu kama hiyo zina shida sana ya tatizo hilo waone wataalam wa ku flash tatizo litaondoka
 
tuta download vp mkuu wakat play store ukitaka ku download inakataa inasema insufficient memory

Ndo maana nikasema find any means uiInstall on yur phone... find mtu aliyoko nayo then anaku flash share...ningekuwa karibu I would help you.

Nimewasaidia weng sana hii kitu.
 
Haijirudi cz ikishaflashiwa ata ukiwipe haiwez rudi ikawa locked tena

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom