Tatizo la form yangu ya mkopo !

mohammad_othar

JF-Expert Member
Jan 9, 2013
247
42
Habarini wadau ! Naimani mpo poa na wazima wa afya , nlikuwa kati ya waombaji wa mkopo mwaka huu ujao wa masomo. Baada ya uhakiki leo nimepata list kwamba - APPLICANT IDENTIFICATION DOCUMENT iko invalid. Nlikuwa naomba kujua shida ni nini ? Na wanahitaji nini heslb as an identification document ?

Ahsanteni sana !
 
Document gani ni invalid? Tuanzie hapa ili tuweze kukusaidia
 
Mkuu hii hapa
Atuambie ni documents gani ni invalid tuweze kumsaidia
SmartSelect_20180924-111446_Foxit%20PDF.jpeg
 
Habarini wadau ! Naimani mpo poa na wazima wa afya , nlikuwa kati ya waombaji wa mkopo mwaka huu ujao wa masomo. Baada ya uhakiki leo nimepata list kwamba - APPLICANT IDENTIFICATION DOCUMENT iko invalid. Nlikuwa naomba kujua shida ni nini ? Na wanahitaji nini heslb as an identification document ?

Ahsanteni sana !
tatizo liko kwenye kitambulisho chako ulichokiweka, "IDENTITY CARD YAKO " ifanye uhakiki mahakamani, siyo ya mdhamini.
 
Ungeelezea hapa mkuu tupate kuelewa wengi
Hapo inahitajika nakala ya kitambulisho cha mdhamini wako uliemjaza kwenye fomu, hivyo chukua kitambulisho cha mdhamini wako (kitambulisho cha utaifa, mpiga kura, leseni na vingine vilivyoorodhesha kwenye fomu) kisha nenda katoe kopi pande zote mbili halafu peleka mahakamani hiyo nakala ya kitambulisho, itasainiwa kisha utarudi kuscan hivyo nakala kisha utaiaplodi sehemu husika.
 
Nimekuelewa mkuu ! Ahsante
 
Mimi nimeambiwa guarantor identification documents invalid

Back
Top Bottom