Mungoni Mshamba
Senior Member
- Jan 30, 2017
- 154
- 63
Basi upo sahihidahh mbn me kuna vitu sikuambatanisha ila jina langu halipo na account yangu hainiruhusu ku update chochote.
Basi upo sahihidahh mbn me kuna vitu sikuambatanisha ila jina langu halipo na account yangu hainiruhusu ku update chochote.
Hivi kwenye application form kuna mahali popote ambapo mwombaji (applicant) alitakiwa kuambatisha kitambulisho chake? kiwe cha Kura au NIDA nk? Soma fomu yako vizuri. Taarifa binafsi za mwombaji (applicants personal details). Hata kwenye viambatisho ilitakiwa birth certificate (ya mwombaji) na ID ya mdhamini.!Birth cerfitificate au kitambulisho cha NIDA ?
Aplicant (mwombaji) hakuna anakotakiwa ku-upload vitu hivyo labda vya mdhamini tu. Utambulisho wa mwombaji ni Namba zake za mtihani na Birth certificate (rejea TAARIFA BINAFSI ZA MWOMBAJI) Majina lazima yafanane, kama si hivyo lazima kuapa mahakamaniKitambulisho kinachotambulika na serikali (Mpiga kura, National ID, leseni) Una scan photocopy yenye pande zote mbili ambayo imesainiwa na kugongwa muhuri mahakani
Yeah ipo lakini ni NON MANDATORY, jamaa sijui kwa nini alihangaika nayo?Hivi kwenye application form kuna mahali popote ambapo mwombaji (applicant) alitakiwa kuambatisha kitambulisho chake? kiwe cha Kura au NIDA nk? Soma fomu yako vizuri. Taarifa binafsi za mwombaji (applicants personal details). Hata kwenye viambatisho ilitakiwa birth certificate (ya mwombaji) na ID ya mdhamini.!
Kwa hiyo sula la ID yako halihusiki na tatizo lako. Mimi nimekushauri uchunguze majina kwenye birth certificate na veti vya elimu. Labda unijibu hilo!
Ipo, mbn me niliambatanisha cha NIDAAplicant (mwombaji) hakuna anakotakiwa ku-upload vitu hivyo labda vya mdhamini tu. Utambulisho wa mwombaji ni Namba zake za mtihani na Birth certificate (rejea TAARIFA BINAFSI ZA MWOMBAJI) Majina lazima yafanane, kama si hivyo lazima kuapa mahakamani
Mwanzo uliweka kitambulisho gani?Msahada jamani mimi sina kitambulisho chochote kinachotambulika na serikali nitafanyaje na wameniandikia invalid applicant identification document
Mwanzo uliweka kitambulisho gani?
Haipo bosi ni namba tuNashindwa kuattach birth certificate haioneshi sehemu ya kuattach
So sitakiwi kuattach only verification number inaitajika?Haipo bosi ni namba tu
Ni verification namba tu.Hapa naandika entry number or verification number kwenye death certificate