Tatizo la Figo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tatizo la Figo

Discussion in 'JF Doctor' started by Sizinga, May 10, 2011.

 1. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,922
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Naomba kujua details za tatizo la figo.
  Matibabu yake yapoje(dawa na fedha)??
  Ni kweli figo haitibiki ?matter of replacement??yaani uwe na mtu ambaye damu zenu ni group moja itolewe yake then awekewe mgonjwa??is it like that??
  Kiutaalamu ugonjwa wa figo unajulikana kwa jina gani??
  Kuna anko angu anasumbuliwa sana figo na anatarajia kwenda india kwa matibabu sasa, inabidi atoke na mtu huku ili kama ni kureplace basi afanyiwe hivyo au kuna matibabu mengine??
  Naomba details, Shukrani!!
   
 2. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Matatizo ya figo yapo meeengi sana kwa kuwa 'anko' yako ameshaenda hospitali na tatizo likajulikana mpaka wataalam wameamua afanyiwe 'renal transplant', basi ungesema ni tatizo gani (according to his/her Dr), kisha ukupe hizo details unazohitaji. Kuwa specific, sababu matatizo ya figo na options za matibabu yake zipo nyingi!
   
 3. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,614
  Trophy Points: 280
  Habari njema kwa watanzania hususan wenye magonjwa ya figo Hospitali ya Trauma centre and Well Woman Clinic ilipo masaki imeshazindua rasmi matibabu ya usafishaji wa damu kwa watu wenye matatizo ya figo,matibabu haya kwa kipindi kirefu yalikuwa ni vigumu kupatikana nchini kutokana na mitambo hiyo kupatikana kwenye Hospital chache sana hapa nchini na kulazimu baadhi ya watanzania kutumia gharama kubwa kwenda nje ya nchi kwa ajili ya matibu hayo.

  Ni fursa pekee kwa watanzania kutumia vyema bahati hii kwani mbali na matibabu haya pia kuna huduma na mitambo ya kisasa katika kila idara vikiwemo Digital mammography, Dexa unit ni mtambo pekee Tanzania nzima ambao hupima na kugundua kiasi cha Calcium ,ambayo huimarisha mifupa kwani upungufu wake husababisha maumivu mwilini na hupelekea hata kuvunjika kwa Hip Joint (yaani nyonga kwa Kiswahili).

  Watanzania tutembelee Trauma Centre iliyopo Masaki mwisho inatizamana na Coral Beach Hotel.
   
 4. T

  Tofty JF-Expert Member

  #4
  Mar 25, 2012
  Joined: Nov 6, 2008
  Messages: 206
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  costs za hospitali hii ziko juu sana na ni ngumu kwa mtanzania wa kaiwaida kuweza kumudu gharama zao. Pia wanacharge in US Dollars.
   
Loading...