Tarakilishi
JF-Expert Member
- May 19, 2013
- 2,181
- 2,446
Tuache ulalamishi usio na mashiko, mimi naitumia huduma hiyo mwaka wa sita sasa na taizo la namna hiyo limenitokea mara tatu tu. Ni vyema ukaelewa kuwa changamoto za namna hiyo huwa zinajitokeza kutokana na matatizo mbalimbali na mengi zaidi yakisababishwa na mtandao kuwa chini. Huduma za mtandao hazitolewi na CRDB bali wao huwategemea Service Providers wengine. Sio jambo zuri sana kuchafua biashara za watu kwa tatizo dogo lililokukuta mara moja.