Padri Mcharo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 1,899
- 3,691
Mkuu nadhani si vyema kuiita ya kifala bali tuseme tu ni huduma nzuri lakini itumie tu pale ambapo huna suruhisho lingine,mfano binafsi huwa inanisaidia sana nikiwa vijiji vya mbali kusiko na ATMs bali kuna MPESA na TigoPesa.
Kila kizuri hakikosi kasoro.
Narudia tena...
Simbanking ni Huduma ya Kifala sana, hasa kwa sisi tulio mjini hapa...
Kwanza ni expensive, na bado Double Makato...
Nikitaka kutoa laki tano :
Yaani nihamishe pesa kutoka Simbanking kwenda Mpesa/Tigopesa nakatwa 6000.
Bado kuitoa Mpesa/Tigopesa kuiweka mkononi nakatwa 6000.
Jumla nakatwa 12,000. Si upimbi huo???
Kwa jinsi ATM zilivo tapakaa hapa Dar ningekatwa 1800 tu kwa ajili ya transaction fee.
Kwa Lugha ya kiuchumi nakua nimeokoa 10,000.
Habari za Simbanking pelekeni huko Vijijini...