Kila ninapopita tarafa zote nne igurubi, choma, simbo na igunga mjini. Kila unapofika katika mikusanyiko ya watu wengi wanamtoa kasoro mgombea wa CHADEMA Joseph Kashindye kuwa ni mzito wa kuongea wengine wanasema ni mzee huku wakimwagia sifa mgombea wa CUF Leopold Mahona kuwa sera zake zinatekelezeka na anajua kulimiliki jukwaa pia ni kijana mdogo, ambaye amezaliwa tarafa ya SIMBO.
Kinyume na mgombea wa CHADEMA ambaye wanasema alitokea Sengerema MWANZA na alikuja kama mwalimu na baadaye kupanda ngazi na kuwa Mratibu wa Elimu wilayani Igunga. Mtoaji wa habari hizi ni mmoja wa timu za kampeni zilizoko huku Igunga.

<br />Hureeeee Mahona, tunakusubiri tukupeleke bungeni.
Idadi ya mashoga inaongezeka sana! Nakulilia Tanzania...Dr Kafumu ni Kijana zaidi
Sikujua Rostum Aziz ni CUF. Maana ndiye aliyekuwa akishinda Igunga, jimbo la CUF.jimbo ni la CUF kwa jinsi inavyoonekana ushindi kwao ni mweupe kutokana na mgombea wao ni mzawa na anafahamika, hii ni mara ya pili kwa hiyo hawatumii nguvu kubwa labda CCM wawaibie, na kwa kuwa Maalim seif ndiye atakayefunga kampeni naona wamejipanga vizuri. a
nadhani i KIDUDEHuyo mgombea wa CUF anamshinda mwanamuziki gani wa bongo fleva kwa kuongea?