Habar wana jukwaa la technolojia naomba mnisaidie simu yangu aina ya tecno m3 haitaki kuoperate auto rotation kwani nikiigeuza image inabaki vilevile upright so nifanyaje wakuu kwani kuna video zingine zinapendeza kuangalia huku simu ikiwa imelala.
Kule kwenye auto rotation screen iko tick. natanguliza shukran wakuu
Kule kwenye auto rotation screen iko tick. natanguliza shukran wakuu