Habari wadau,
Nimeroot simu yangu tecno m3 nikaondoa battery alert, baada ya kuiondoa. simu yangu ikifikia 15% ya battery siwezi kutumia tena huwa screen inakuwa nyeusi na kuandika "anfortunatly system UI has stoped".
Msaada jamani nataka kuiondoa hiyo message battery ikaribiapo kuisha ili niendelee na matumizi ya simu.