Tatizo la network

Moshi wa Kumbi

Senior Member
Feb 24, 2016
163
99
Habar wanajukwaa
Simu yang samsung j7pro inatatzo la network kua chini km nitafungua data na kumtumia mtu chat kw whatsapp huchukua had dakika moja bado haijaweka tick.
Pia sometime nikipigiwa hua haipatikani
Naomba msaada wenu wakuu natanguliza shukran
 
Simu nyingi za Samsung zinashida kwenye network card.. Mara nyingi network card zake huwa hazina nguvu na huanza kufa mapema.. Ukiona simu yako ya samsung inaanza kupoteza network au inakamata kwa chenga ujue ndio inaelekea kufa.. hapo itaendelea hivyo huku ikipungua nguvu hadi ife kabisa kwa maana ya network kukata mazima
 
mkuu ni saidie hii kitu kuna jamaa anauza dell 500000
processor intel (R)core (TM)i7-2760QM CPU@2.40GHz,2401mhz,4core(s)&logical processoer
insalled physical memory (RAM)8 GB
total physical memory 7.90GB
HDD GB 900
RAM GB8
MIM SIO MJUZI WA HIVI VITU,JE ni mpe huo mkwanja au ntakuwa nimepigwa?
 
Imetumika muda gani

Sio mbaya mkuu lakini Kama unajua unaenda kuitumia wapi maana Ni laptop ya kizamani yenye nguvu.

Kama Unataka tu laptop ya kawaida achana nayo,
 
Back
Top Bottom