Nkwimba Ngulyati
Member
- Jul 7, 2014
- 34
- 11
Habari wanajamvi.
Naomba kueleweshwa kuwa ni kwanini wanawake wengi waliojaaliwa na mwenyezi Mungu uzuri wa tabia na maumbo mazuri kwanini hawaolewi mapema wanakaa mda mrefu.
Mimi hapa nilipo ninategemea kuolewa mwakani inshala mwenyezi Mungu akijaalia lakini rafiki yangu analalamika kila mara kuwa kila mwanaume anayempata hamuoi anabakia kumfunua funua tu, sasa hivi anamiaka 29 na mzuri sana.
Natambua kuna watu wenye uelewa na hili suala,ili nimsaidie mwenzangu kupitia Jukwaa hili.Yeye yuko Dar es salaam kwamaana alikuwa anaishi Arusha na huyo anayetegemea kuishi naye yuko Dar es salaam na yeye.
Naombeni ushauri.