Tatizo la akina Dada kutoolewa

Tatizo la akina Dada kutoolewa

Wachumba wapo wengi we sema anaowataka yeye ni wale wa matumizi 100,000 kwa siku na kuishia kufunuliwa. Abadili life style
tatizo ni moja tu , watu hasa wa dada wana mtindo wa kutafuta LIFE PARTNER, badala ya kutafuta SOULMATE . kwani life partner can only be a great supporter kwenye upuuzi wako au kutoelewa kwako. soulmate yeye she/he bring out the best in you. unafunga ndoa kwa mbwembwe, kesho unamkumbuka rafikiyo asiye na ndoa, kwani ndoa imekuwa ndoano
 
Hata we mwenyewe unaweza kuishia kua wale wale hasa huyo mpenzi wako akibadili lengo omba mungu sana wanaume hawachelewi kuchange
 
Mzuri wa tabia na umbo...na anapenda kuolewa na wa kumuoa hakuna???????????
Why??? Kwa nini????
 
Tatizo ni mabadiliko ya mtindo wa maisha.Kusoma kwa muda mrefu,kukutana na marafiki wa aina tofauti anuai.Mwishowe umri unaenda dada hajapata mume na aliokuwa nao wamemwacha.Urembo unaleta kiburi hivyo kuchagua kwingi aah huyu hana hela aah huyu sio handsome muda unaenda kuja kushtuka muda wa kuolewa umepita.Kuolewa mapema muhimu.
 
kinachowafanya wasiolewe ni hivi hapa
1. wanaringa na kujickia xn
2. kutokana na tabia zao za kipumbavu watu wanawaogopa kuwafata cz huwa wanadharau na maneno ya xhombo kama wauza samaki ktk soko la mwaloni mwanza, naongea ivo cz nina ushahidi wa ndugu zangu kwa kweli wamejaliwa kila kila kitu na ni warembo kweli utafikiri walishushwa toka mbinguni ila wanaringa xn xo walipokuwa wanachumbiwa wakawa wanawauliza hao wachumba wao we unavigezo gn vya kunioa????? apo wakimaanisha kuwa uwe na funguo tatu.... funguo ya nyumba, oficn na gari umeonae bt mpaka saiv umri umeenda bado hawajaolewa wa kwanza ana miaka arobaini na tano bado yuko home na pili nae bado na wa tatu hivo hivyo.
therefore, wanawake badilikeni uzur co kitu lilia bahati uzuri wako utakupa faida tu kuvulia chupi wakisha hit wanakimbia na hautawaona tena....ni hayo tu.
 
Back
Top Bottom