Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 15,331
- 22,302
Wakiamua wanaweza,maana kama 100,Inakatwa kwa uzalendo na watu ndio sisi hata yenyeye ione haya yanayoendelea South Africa.Serikali hii hii ya Mbogamboga iwafanyie hayo? Iache kuwakamua sh.100/100 zenu kwenye simu