Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,087
- 15,961
- Thread starter
- #21
Dah kwel mkuu...well..hapo kwenye kishindo ni kwel..pia barabara nayotumia ina lami na ni ngumu kwel kwelNakubaliana na wachangiaji wengine hapo juu.
Pia angalia yafuatayo;
1. Aina ya viatu unavyotumia..rana ziwe zenye soli iliyoinuka.
2. Barabara unayotumiabkujog labda ni ngumu Sana..mf lami..pendelea kukimbia kwenye ardhi laini na yenye mchanga..inafaida yake pia.
3. Namna ya ukimbiaji wako na uzito ulionao,epuka kukimbia kwa kutumia mguu/unyayo wote kukanyaga ardhi..kufanya hivi miguu na magoti unaipa kazi ya kuzuia mwili wako. Jikague kama unatoa sana kishindo ndio tafsiri ya hiki ninachokisema,jitahidi ukiwa unakimbia unyayo usiukanyagie wote ardhini..tumia eneo dogo la nyuma ya vidole.
Ahsante.
Well..viatu naona viko sawa..