safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 12,312
- 18,194
Usiache cha kufanya zunguka uwanja tu kama mara mbili tatu TU TU TU TU TU TU TU TU TU.Ni kwel mkuu..nadhan nme over do..sasa sjui nisubir nipone kwanza ndo niendelee ama nifanyeje..mpaka nawaza mchana huu niende hospitali..maana sjui napoje
Kisha nyoosha misuli dakika kadhaa aafu baada ya hapo umemaliza.
Fanya hivyo kama wiki hivi kisha anza kukimbia mdogo mdogo sana kama umbali wa kilomita mbili hivi.