Tatizo hili suluhu yake ni nin wakuu

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
10,087
15,958
Katika haraka za kuanza jogging..5 km..nna kama week 1 hiv...sasa gafla miguu kwenye magoti humu inauma balaa mpaka nashindwa kutembea..

Hebu wajuzi nisaidieni kidogo..naponaje hili tatzo ili niendelee na ratiba yangu hiyo

Uzi tayar
(Kinyonge zaid)
 
Endelea kupiga mazoezi hayo.
 
Ni kawaida ukianza mazoezi yoyote hata kunyanyua chuma misuli iume...Sollution ufanyiwe kukandakanda miguu ulale then mtu anakukanyagakanyaga miguu na kuipigapiga na message ikianza kurudi kwenye hali yake endelea na mazoezi mpaka itakuwa Notmal.
 
Kama ni beginner umeanza vibaya sana

5kms is a loong way. Wenzio wanaoanza wanazunguka kiwanja cha mpira walau safari 5 kwanza

Safari mdogo mdogo
umeishtua miguu na misuli yake
Ni kwel mkuu..nadhan nme over do..sasa sjui nisubir nipone kwanza ndo niendelee ama nifanyeje..mpaka nawaza mchana huu niende hospitali..maana sjui napoje
 
Ni kawaida ukianza mazoezi yoyote hata kunyanyua chuma misuli iume...Sollution ufanyiwe kukandakanda miguu ulale then mtu anakukanyagakanyaga miguu na kuipigapiga na message ikianza kurudi kwenye hali yake endelea na mazoezi mpaka itakuwa Notmal.
Asante mkuu..maana had nmeogopa nkahis mchepuko kaniloga nin
 
Pole mkuu,kama walivyosema jamaa begginer wote wanaanza mazoezi mepesi then utaanza kwenda Long distance.Kama inauma sana nenda hospital ukapate ushauri wa Daktari
 
Katika haraka za kuanza jogging..5 km..nna kama week 1 hiv...sasa gafla miguu kwenye magoti humu inauma balaa mpaka nashindwa kutembea..

Hebu wajuzi nisaidieni kidogo..naponaje hili tatzo ili niendelee na ratiba yangu hiyo

Uzi tayar
(Kinyonge zaid)
You are doing wrong body exercise for your body vist a physiotherapy for better advise.......sio lazma ufanye mazoezi ya kukimbia buana acha kulazimisha mambo utakufa bila kujua
 
Asante mkuu..maana had nmeogopa nkahis mchepuko kaniloga nin
Kingine...usije kuanza zoezi jipya/Mapya ukiwa kwenye Bize Week unapoanza hakikisha ni kama kipindi cha holiday ndefu au upo free kwa siku kadhaa maana misuli lazima iume kama mpya kwenye mazoezi utakuja haribu ratiba za kazi au weredi kazini.
 
Pole mkuu,kama walivyosema jamaa begginer wote wanaanza mazoezi mepesi then utaanza kwenda Long distance.Kama inauma sana nenda hospital ukapate ushauri wa Daktari
Asante mkuu....ngoja nifanye hvo
 
You are doing wrong body exercise for your body vist a physiotherapy for better advise.......sio lazma ufanye mazoezi ya kukimbia buana acha kulazimisha mambo utakufa bila kujua
Anaste mkuu....nahis nmeanza vbaya..nme overdo...ila zoez la kukimbia lina matokea ya haraka sana tofaut na gym..gym naonaga ni taratib sana
 
Aina ya viatu vya kutumia kwenye jogging ni muhimu sana,

Issue ya kuumwa magoti pia husababishwa na viatu unavyotumia.
Nmenunua raba spesheli kabisa za kukimbia..nahis labda nilianza kwa fujo saana...siku ya kwanza nilifosi km3..nikarud kwa kutembea.siku ya pili same same.. siku ya tatu nikaunga km 6..na ndo nkaendelea nazo...hii njia yetu ya huku uki jog mnakutana weng..sasa unakuta pisi kali inakupita ina jog halaf fresh tu km za kutosha halaf wew wakat huo ulimi ushakutoka kama mbwa...lazima ukomae..ndo hapo sasa unaumia.uskute mwenzio kaanza kitambo
 
Ni kwel mkuu..nadhan nme over do..sasa sjui nisubir nipone kwanza ndo niendelee ama nifanyeje..mpaka nawaza mchana huu niende hospitali..maana sjui napoje
Badilisha kidogo mfumo wa mazoezi. Kimbia pole pole huku ukiwa unaiweka sawa misuli, usiende umbali mrefu.

Pia fanya mazoezi ya papo kwa papo kama squart (sijui kama niko sahihi).. mpaka misuli na mwili utakapozoea
 
Kingine...usije kuanza zoezi jipya/Mapya ukiwa kwenye Bize Week unapoanza hakikisha ni kama kipindi cha holiday ndefu au upo free kwa siku kadhaa maana misuli lazima iume kama mpya kwenye mazoezi utakuja haribu ratiba za kazi au weredi kazini.
Ni kwel kabisa. Nataka nikipona nianze zoez tena smartly....kwa steps.
 
Badilisha kidogo mfumo wa mazoezi. Kimbia pole pole huku ukiwa unaiweka sawa misuli, usiende umbali mrefu.

Pia fanya mazoezi ya papo kwa papo kama squart (sijui kama niko sahihi).. mpaka misuli na mwili utakapozoea
Nashkuru snaa mkuu.
 
Nakubaliana na wachangiaji wengine hapo juu.
Pia angalia yafuatayo;
1. Aina ya viatu unavyotumia..raba ziwe zenye soli iliyoinuka.
2. Barabara unayotumia kujog labda ni ngumu Sana..mf lami..pendelea kukimbia kwenye ardhi laini na yenye mchanga..inafaida yake pia.
3. Namna ya ukimbiaji wako na uzito ulionao,epuka kukimbia kwa kutumia mguu/unyayo wote kukanyaga ardhi..kufanya hivi miguu na magoti unaipa kazi ya kuzuia mwili wako. Jikague kama unatoa sana kishindo ndio tafsiri ya hiki ninachokisema,jitahidi ukiwa unakimbia unyayo usiukanyagie wote ardhini..tumia eneo dogo la nyuma ya vidole.
Ahsante.
 
Back
Top Bottom