Tatizo hili ni kwangu tu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tatizo hili ni kwangu tu?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mrimi, Nov 29, 2011.

 1. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #1
  Nov 29, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,675
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Wakuu tangu Jmosi usiku internet ya Airtel inakuwa slow sana, muda mwingi speed inakuwa 0.00kb/s ingawa signal strength ianakuwa kubwa hadi 98%.
  Hata mchana sometimes inakwamakwama. Tatizo hili ni kwangu tu au na wengine mnalipata?

  Najua Airtel mnapita pita humu, nawaomba tafadhali rekebisheni hii kitu.
  Tumekuwa tukiwasifia sana kwa huduma yenu ila ktk hili naona ni usaliti wa dhahiri.
   
 2. Bornvilla

  Bornvilla JF-Expert Member

  #2
  Nov 30, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 925
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  sio kwako tu mkuu hata mimi japo natumia kiN73 changu.
   
Loading...