TATIZO HAWAWAAMBII UKWELI MNGEKUWA MMESHAOKOKA SASA HIVI.....[emoji1]

Joshua justine

JF-Expert Member
Sep 1, 2021
792
1,007
Unawakumbuka wale jamaa waliokufa katikati ya matukio, mfano yule mzee mmiliki wa bar moja pale arusha aliyegongwa na toyo usiku wa mwaka mpya akiwa na mchepuko wake, ama wale wanaofariki nyumba za wageni na kukimbiwa na michepuko yao , ama wale waliojiua sababu ya kuumizwa katika mapenzi ama wale majambazi waliokufa wakirushiana risasi na askari polisi .....n.k
Watu kama hao unajua wenyeji wao sasa hivi huko waliko ni majamaa kama hayo.....yaani unapelekwa nyumbani kwao hayo , kuzimu huko.
Vipi hapo........
View attachment 2499251View attachment 2499252View attachment 2499253
 
Mkuu

Sijakuelewa we jamaa!! Eleza VIZURI tukuelewe hao jamaa wanaowapokea ni kina Nani na wapo wapi!!?
 
Back
Top Bottom